Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Salute to Window period!Ni kweli kabisa! Sasa hivi thread nyingi watu wanakuja eti kabla ya kubanjuana tulipima kwanza tulipoona negative tukaingia kavukavu! Wengi wameangamia kwa njia hii!
Hizi vipimo(SD bioline) ni antibody tests, so ni mpaka mwili urespond kwa antigen ( yani HIV) ndo kipimo kiweze kudetect virus, so antibodies kutengenezwa inategemea na immunity ya mtu , kuna wanaorespond mapema na wanaochelewa , ndio maana hata ukipimwa ukimwi leo inabidi upime tena after 3 months, ndo mda ambao ata slow responders wanakua tayari washatengeneza antibodies.Vipimo vina selective affinity Kwa kirusi hivyo kama unao kitasoma
Kinasoma baada ya muda gani baada ya kuupata?Vipimo vina selective affinity Kwa kirusi hivyo kama unao kitasoma
Mkuu PCR HIV ndo nini? Njoo utujuzeHizi vipimo(SD bioline) ni antibody tests, so ni mpaka mwili urespond kwa antigen ( yani HIV) ndo kipimo kiweze kudetect virus, so antibodies kutengenezwa inategemea na immunity ya mtu , kuna wanaorespond mapema na wanaochelewa , ndio maana hata ukipimwa ukimwi leo inabidi upime tena after 3 months, ndo mda ambao ata slow responders wanakua tayari washatengeneza antibodies.
Ila kwa kutumia PCR HIV unaweza kutambua the same day kwasababu inapima kirusi chenyewe.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Polymerase Chain reaction for HIV , hiki kinapima HIV katika molecular levelMkuu PCR HIV ndo nini? Njoo utujuze
Kinadetect HIV infection baada ya muda gani? Madukani (pharmacy) vipo? Kinauzwa bei gani? Kiko friendly kukitumia?Polymerase Chain reaction for HIV , hiki kinapima HIV katika molecular level
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kuna wimbi kubwa la watu wakitaka show mmoja wapo hudai tukapime kwanza. Sasa hata mkipimana kipimo kikaonyesha negative, ndo kusema mko wote salama kulana kavukavu?
Vipi kama muda mfupi kabla ya hapo mmoja wapo kaukwaa? Vipi labda juzi au jana mmoja wenu kakanyaga mawaya? Hivi vipimo mnaviaminije?
Uaminifu wa hivi vipimo vinaweza kuonyesha usahihi wa HIV baada ya muda gani baada ya mtu kuambukizwa? Wajuzi na wataalamu njoo mtujuze!
Tugundue ninituache ngono wazinifu wenzangu 🤣🤣
sahihi kabisa, japo muongozo wa upimaji retesting ni 1 month au 12 months kama hana risk. Isipokuwa kwa wajawazitoHizi vipimo(SD bioline) ni antibody tests, so ni mpaka mwili urespond kwa antigen ( yani HIV) ndo kipimo kiweze kudetect virus, so antibodies kutengenezwa inategemea na immunity ya mtu , kuna wanaorespond mapema na wanaochelewa , ndio maana hata ukipimwa ukimwi leo inabidi upime tena after 3 months, ndo mda ambao ata slow responders wanakua tayari washatengeneza antibodies.
Ila kwa kutumia PCR HIV unaweza kutambua the same day kwasababu inapima kirusi chenyewe.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
hahaaaaaaaaaaa nimecheka sana, wanachungulia tu,heading inakimbiza wazinzi ku reply na kubaki kuwa viewers