tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Wakuu, nimekuwa na safari ya wiki zima nikikatiza mikoa kadhaa na kwa namna upepo wa sasa ulivyo nilitegemea mambo yamechangamka huko lakini ajabu ni kwamba kila mkoa nilioingia nimekuta mabango ya CCM yamechafua kila mahali na kampeni zao ndizo zinaoendelea.
Kuanzia Njombe, Iringa hadi Morogoro billboards zote zimejaa CCM zimejaa Samia... hakuna billboard hata moja lililowekwa na chama kingine zaidi ya CCM na Samia. Hata DSM penyewe hakuna billboard ya chama chochote za upinzani.
Sijabahatika hata kuona mabango ya chama kingine chochote wala hao watu wakifanya kampeni, hii inanipa picha kuwa vyama vingine vyote vimeishia Dar es salaam tu, huku mikoani havipo au ndio wamempisha CCM? Maana sio kwa uharibifu huo wa hali ya hewa.