johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?
Maendeleo hayana vyama!
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?
Maendeleo hayana vyama!