Kwani wabunge wa viti maalumu CHADEMA huchaguliwa kwa utaratibu gani?

Kwani wabunge wa viti maalumu CHADEMA huchaguliwa kwa utaratibu gani?

Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.

Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu mbona safari hii mnahangaika sana na wabunge hawa wa viti maalum?? Chama chao kimeshasema hawapeleki majina sababu hata hiyo NEC kwa sasa hawaitambui kama taasisi... na wanaamini kwamba uchaguzi haukuwepo bali kulikiwa na uhuni na uporaji wa kura waziwazi!!

Mnateseka??
 
Naona chadema hawatoki mdomoni japo mnahubiri imekufa.

Hatupo tayari kupeleka wabunge wa viti maalum kwa sababu watachelewesha maendeleo ya wananchi,,,, kwanza mnyika alishasema hatushiriki huo upumbavu labda muwateue polisi wakashike hizo nafasi za viti maalamu
 
Back
Top Bottom