johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Eehh weee Mama tuondolee shobo hapa..nenda wewe ukawe mbunge wa Viti Maalum pamoja na Khadija Kopa, Shilole, Zuchu, Wema etc etc badala ya chadema..Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?
Maendeleo hayana vyama!
We tulia huko huko. Achana na ya Chadema. Ila mjue ajira yenu sasa na ya Musiba iko kwaajili ya Chadema. Mkatae msikate ndo ilivyo. So ombeni sana Chadema wapeleke watu ili na nyie muendelee kulipwa.Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?
Maendeleo hayana vyama!
Afadhali ugonjwa wa spika una dawa. Wako wewe hauna dawa na unaishi kwa matumaini tu. Pendekezo.; kula matunda na kupumzika vizuri, utaishi kwa muda mrefu kidogo.Viti maalumu CCM walioko bungeni wawe makini na Ndugai maana ni mgonjwa!Kinga ni bora kuliko tiba!
Waulizeni wenyeji juu ya huyu mgonjwa ghali zaidi duniani!Anatembelea uzi!
Kwa sababu wabunge hao ndio chakula ya wabunge wa CCM. Kwa hiyo wajee, wajeee, wajeeeeeeeeeMbona wanawang'ang'ani sana kuwataka wabunge wa viti maalumu kutoka CHADEMA!
Mambo ya Ngoswe mumwachie Ngoswe mwenyewe.Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?
Maendeleo hayana vyama!
Nani kakwambia una dawa?Huyu jamaa miaka mitano akitoboa ni bahati maana anatembelea uzi tu!Afadhali ugonjwa wa spika una dawa. Wako wewe hauna dawa na unaishi kwa matumaini tu. Pendekezo.; kula matunda na kupumzika vizuri, utaishi kwa muda mrefu kidogo.
Basi acha kumcheka mwenzako kama wake hauna dawa na wako pia hauna dawa, so mko ngoma droo.Nani kakwambia una dawa?Huyu jamaa miaka mitano akitoboa ni bahati maana anatembelea uzi tu!
Jamaa ni sawa na airbag,yaani kijimwiba kikitoboa poof,kwisha kazi!Basi acha kumcheka mwenzako kama wake hauna dawa na wako pia hauna dawa, so mko ngoma droo.
Mambo ya cdm achana nayoKauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?
Maendeleo hayana vyama!
Ni kuhusu utaratibu tu!Mambo ya cdm achana nayo
Mbona mshawa maliza wasi wasi nini tena
Ova
Na mke wa NdugaiEehh weee Mama tuondolee shobo hapa..nenda wewe ukawe mbunge wa Viti Maalum pamoja na Khadija Kopa, Shilole, Zuchu, Wema etc etc badala ya chadema..
Tuondolee kelele hapa na uzi wako uliochina.
We babu huwa hupumziki?Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?
Maendeleo hayana vyama!
Kabisa mkuuViti maalumu CCM walioko bungeni wawe makini na Ndugai maana ni mgonjwa!Kinga ni bora kuliko tiba!
Waulizeni wenyeji juu ya huyu mgonjwa ghali zaidi duniani!Anatembelea uzi!
Hakuna cha utaratibu sisi bunge tutaliendesha ki ccm tuNi kuhusu utaratibu tu!