Huyu mtu tayari kachoka wakati ndio kwanza kaanza Kampeni, sifahamu huko mbele itakuwaje.
Nimemsikia anasema wao wanamimina mamilioni kwa ajili ya miradi ya Maendeleo na kwamba wao hawategemei tone tone.
Binafsi nimejiuliza, sawa kwenye Siasa kupiga vijembe na porojo kwa mpinzani wako ni jambo la kawaida.
Sasa kama wale wa tone tone hawashiriki Uchaguzi anaowananga ili iweje?
Hayo mamilioni anayomwaga kwenye hiyo miradi ya Maendeleo anayosema anaitoa mfukoni mwake?
Hiyo pesa haitokani na Kodi? Je hao tone tone wao hawalipi Kodi? Kwenye hayo mamilioni anayomwaga, pesa zao hazimo?
Hiki ni kipengere, huyo tayari ameanza kuchoka wakati ndio kwanza!! Nawashauri muwe mnamwandikia!