Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Sasa tutaaminije bila pichaTatizo wivu. Mm ni mwl lkn naenjoy maisha balaa na mm pamoja na wensangu tuna maendeleo makubwa tu sana. Kikubwa malengo. Mm hua sibabishwi Wala kutishwa na maneno ya wqnaoponda walimu. Wao waendelee tu kutuponda hakuna tatizo lolote
Halafu weye una matatizo.Kwa nini haujatutumia picha ya pisi uliyokuwa nayo Bhuja aka Bujumbura?Sasa tutaaminije bila picha
Wewe ni mpumbavu kuliko upumbavu wenyewe! Elimu Yako ni ya kiwango Cha chini mno na huenda imekusaidia kujua kusoma na kuandika TU jambo ambalo hukuzaliwa nalo Bali ulifunzwa na walimu! Kummiliki simu janja hakukufanyi kuwa una elimu Sana kwani hata wadada wa kazi wanazimiliki Tena za bei ghali kuliko haki ka techno Kako! Kuwa na adabu Kwa walimu.Wana upeo mdogo sana
Mueleze jinsi walimu walivyo na upeo mkubwa wa akili.Usimtukane.Wewe ni mpumbavu kuliko upumbavu wenyewe! Elimu Yako ni ya kiwango Cha chini mno na huenda imekusaidia kujua kusoma na kuandika TU jambo ambalo hukuzaliwa nalo Bali ulifunzwa na walimu! Kummiliki simu janja hakukufanyi kuwa una elimu Sana kwani hata wadada wa kazi wanazimiliki Tena za bei ghali kuliko haki ka techno Kako! Kuwa na adabu Kwa walimu.
Changamoto ya walimu ni kuwa na nidhamu mnoo.Mengine ni ubinadamu tu.Nawapenda walimu.Kwa. Mambo wanayoyafanya ndio yamesababisha hayo
Hili chawa la ccm halijui lolote kuhusu ualimu na mwalimu linabwabwaja kishoga TU! Litakuwa linaishi Kwa shemeji hili!Mueleze jinsi walimu walivyo na upeo mkubwa wa akili.Usimtukane.
Lakini ukipata mke mwalimu kama haujaoa chukua hua ni walezi wazuri wa watoto nyumbani.
Kwani wewe huo mshahara wa milioni kumi na ushee unakusaidia Nini ilihali bado unafisidi fedha za umma na kupokea rushwa?Sasa mshahara wa laki 480,000 utakusaidia nn?
Wewe ni limurawensangu
Hapo na yeye anajiona mtu makini, na anathubutu kuwakandia walimu.Una maanisha laki nne na elfu themanini au laki laki nne na elfu themanini mkuu?
-480,000/=
-100,000/= na 480,000/=
Hongera kwa hiloChangamoto ya walimu ni kuwa na nidhamu mnoo.Mengine ni ubinadamu tu.Nawapenda walimu.
Kwa kweli walimu ni HOPELESS.walimu wanagombania kazi za sensa na jobless mnafikiri kwanini wasiwadharau
kazi za uchaguzi mkuu mnatafutiana nyie kwanini wasiwatukane
Watu wanaishi kwa chini ya hapoSasa mshahara wa laki 480,000 utakusaidia nn?
Wanaosimangwa ni wale waalimu walevi,wale watoro ila kwenye kuchukua mishahara wa kwanza. Sio waalimu wote wana njaa.
Na kingine kilichowaponza ni kutaka kila ajira za muda zinapotoka wao ndio wapewe wakati kuna mamia ya vijana wapo jobless. Mfano anuani ya makazi,ukarani vitambulisho vya mpiga kura,sensa,uchaguzi ila sana sana kilichowaharibia ni anuani ya makazi walipocheleweshewa posho wakaandamana
Sahihi kabisa! Jamii Forums ya sasa imejaa watoto wengi waliomaliza vyuo, halafu wana smartphone, huku wakiwa hawana ajira.Ukizingatia idadi ya wanaokesha mitandaoni kuomba ajira za ualimu, utapuuza hizi porojo zote za kubeza walimu….. ni wivu tu.