Kama mwalimu ni kilaza ,mjinga, ana poor reasoning kwanini unampeleka mwanao shule akafundishwe na hao walimu!?
Je sio kwamba una hatarisha future ya mwanao!?
Kwanini usimpeleke akafundishwe na madaktari ,ma injinia, wachumi,wanasheria,wahasibu n.k?
Mpaka hapo kati yaki wewe unae waponda walimu ,kuwananga,kuwachachafya,kuwachukia,wkuwadharau, unadhani nani ni kilaza wewe au huyo mwalimu anapika akili ya huyo mwanao!?
Unadharau mwalimu unajua analipwa kiasi gani kwa level ipi ya mshahara!? Unayajua madaraja ya mshahara ya walimu.!?
Je unafahamu kuwa mwalimu anaweza Fanya kazi zingine mbalimbali tofauti na kufundisha(core work) na taasisi mbalimbali tofauti na shule!?.
Una level gani ya elimu kumponda huyo mwalimu!?
Hoja zako Zina uhalisia wowote au ni hisia tu!? Na kwanini una generalize walimu wote wako hivyo.!? Umeayachunguza maisha yao ukaja hio conclusion!?
Unajua kuwa wafanyakazi wote wa halmshauri Wana mishahara inayolingana!?(walimu wako juu yao.kafanye utafiti utsjua).
Unafahamu kwamba Kuna walimu Wana maisha mazuri kuliko hata kada zingine!?
Ukiweza jijibu mwenyewe haya maswali utaachana na dharau dhidi ya walimu
Teaching is a noble work. It's sacred.The important pillar to build and transform for our better cause.
Teachers are pioneers of our social welfare.
Acheni kuwadharua enyi watanzania.