Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

Tate punguza hasira, naona wamekugusa kwenye maeneo nyeti.
 
Tate punguza hasira, naona wamekugusa kwenye maeneo nyeti.
Wala sijaguswa sehemu nyeti. Mimi namiliki ofisi. Tena kwenye jengo langu la biashara lililopo kwenye moja ya Majiji mapya kabisa nchini! Hivyo siishi kwa mshahara. Niliacha kazi kitambo! Nimejiajiri, kwa sababu nilikuwa na mtaji! Maisha yanaendelea.

Ila kamwe siwezi kuwafurahia wapuuzi wachache wanao wadharau walimu kwa sababu zao tu za kitoto. Walimu ni kundi kubwa la watumishi wa umma. Hivyo kundi lote hilo haliwezi kuwa na ukamilifu! Na mapungufu ya walimu wachache, hayawezi kutumika kama kisingizio cha kuwadharau na kuwakejeli.
 
Ngoja niendelee kuchakata mbususu,sili kwa mtu.
 
Ndioo na mimi ni muhanga aisee .
Huyo mwalimu alikuwa nusu anipe mimba ya utotoni.
Aliyeniokoa ni mwalimu wa mathematics .
Lasivyoo nilikuwa nicharazwe za chapu chapu .
 
Yanawakuta kutokana na aina ya reasoning yao, kuna muda unasoma baadhi ya mawazo yao kwenye mijadala hadi unajiuliza “huyu ndiye anafundisha wanetu?”



Hahahaha,mwaka huu mtaita maji mma,aliyekufundisha ni Mwalimu,aliyrmemfunfisha na kumchapa viboko matakoni Baba yako ni Mwalimu,sasa unatoa wapi wasiwasi wa uwezo wa Mwalimu? Ni hivi, Sensa walimu wanapewa na waliwakata,maana mlienda kuleta ubishoo kwenye usaili 🤣🤣
 
Hili la unonko wa walimu ndo huwa linakera kuna watu huwa tunatunza vitu huwa hatusahau,kipindi nasoma nilikuwa nawashangaa wanafunz wenzangu waliokuwa wanakuwa na urafiki na mwalimu

Unakuta mwalimu anafatilia wanafunz kwenye mambo ya kijinga mpaka unashangaa hana majukumu mengine na walimu wa aina hii unakuta hata hawana biashara mtaani muda wote anawaza wanafunz,mfano unakuta shule ina tv na imejiunga na dstv lakini mwalimu hapendi wanafunz watazame mipira ya usiku utazan yeye ndo anawalipia ada
 
Walimu kwanini mnapenda kumiliki mapikipiki aina ya sanlg kwani tvs,boxer,baja,xl,honda hamzioni
 
Hii sio sawa.
 
Aise

Ova
 
Hongera wewe Tasa Mungumba .
Bila shaka unajipigapiga kifuani na kujiona mahindi, kwakutoa namtoto atakae bakwa na walimu.
 
Tatizo wivu. Mm ni mwl lkn naenjoy maisha balaa na mm pamoja na wensangu tuna maendeleo makubwa tu sana. Kikubwa malengo. Mm hua sibabishwi Wala kutishwa na maneno ya wqnaoponda walimu. Wao waendelee tu kutuponda hakuna tatizo lolote
Kwa uandishi huu mwalimu kwanini usipuuzwe!!
 
Mwalimu ni mtumishi pekee anayeweza kupiga wateja wake, ambao ni wanafunzi…. msimchukulie poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…