Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

Watu wana hasira,ajira hakuna 🤗😀😀😀
 
 
Mwaka huu muhogo utaitwa mhoho.

Matarajio pekee ya jobless kupata mtaji ilikuwa ni sensa, kufika kwenye usaili anamkuta mr teacher kapanga foleni na hacheki na mtu.

"... hata kidogo kipatikanacho kwa uchache wake hakiachi..."
 
Itakuwa mchango wao hauonekani because wasomi wetu wengi ni wa mchongo, so lawama kwa walimu. Mtoto wa Joka ni Nyoka. Like the parent like the offspring.
 
Kama mwalimu ni kilaza ,mjinga, ana poor reasoning kwanini unampeleka mwanao shule akafundishwe na hao walimu!?

Je sio kwamba una hatarisha future ya mwanao!?

Kwanini usimpeleke akafundishwe na madaktari ,ma injinia, wachumi,wanasheria,wahasibu n.k?

Mpaka hapo kati yaki wewe unae waponda walimu ,kuwananga,kuwachachafya,kuwachukia,wkuwadharau, unadhani nani ni kilaza wewe au huyo mwalimu anapika akili ya huyo mwanao!?

Unadharau mwalimu unajua analipwa kiasi gani kwa level ipi ya mshahara!? Unayajua madaraja ya mshahara ya walimu.!?

Je unafahamu kuwa mwalimu anaweza Fanya kazi zingine mbalimbali tofauti na kufundisha(core work) na taasisi mbalimbali tofauti na shule!?.

Una level gani ya elimu kumponda huyo mwalimu!?

Hoja zako Zina uhalisia wowote au ni hisia tu!? Na kwanini una generalize walimu wote wako hivyo.!? Umeayachunguza maisha yao ukaja hio conclusion!?

Unajua kuwa wafanyakazi wote wa halmshauri Wana mishahara inayolingana!?(walimu wako juu yao.kafanye utafiti utsjua).

Unafahamu kwamba Kuna walimu Wana maisha mazuri kuliko hata kada zingine!?

Ukiweza jijibu mwenyewe haya maswali utaachana na dharau dhidi ya walimu

Teaching is a noble work. It's sacred.The important pillar to build and transform for our better cause.

Teachers are pioneers of our social welfare.

Acheni kuwadharua enyi watanzania.
 
Mimi naona kama mnahisi kuandamwa mbona nyie mnauwezo wakuwalipiza Kwa kupuuzia maendeleo ya watoto wao wanasoma huko?
Wangefanya hivyo unadhani Taifa hili litakuwa la namna gani!?.

Ni wapumbavu wachache waliokengeuka ndio wanaowananga walimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…