Kwani Wanawake mko wapi?

Kwani Wanawake mko wapi?

Wanawake awapendani thus kaomba sapoti ya wanaume
 
Zile taasisi zilizosajiliwa kutetea mwanamke leo ziko wapi, hazioni hili, wale wanawake wanaojiita wana harakati kutetea haki za wanawake vipi nao hawajaisikia Rais ametangaza nn? Wanawake mna vyama vingi saaaana, kama elfu hivi!
emoji23.png


KAZI ZA WANAHARAKATI HAWA NI PALE MWANAMKE APIGWE KOFI NA MUMEWE!!
 
Back
Top Bottom