Kwani watu warefu kwenda chini wamewakosea nini jamani?

Kwakuwa tumbo, kifua na matako vipo karibu sana, kitu ambacho kinawafanya kupoteza uwezo wa kufikiri vizuri kwakuwa ubongo unakuwa umekaribiana sana na maeneo yenye vurugu muda mwingi na mambo huwa mbaya zaidi wakiwa na vitambi.

Sababu nyingine ni kwamba huwa wanajihisi kudharauliwa na watu warefu kwahiyo wanakuwa na bifu subconsciously

NB: Nilichoandika ni mawazo yangu binafsi, sina tatizo kabisa na watu wafupi
 
Mbona mimi mfupi na gari naendesha vizuri tena manual napangua gia zote nacheza na clutch na accelerator kwa ustadi mkubwa
 
Wafupi ndio kuanzia futi/sentimita ngapi?
Isije kuwa na mimi ni mfupi 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…