Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 486 May 8, 2012 #1 Jamani kwani kuwa raisi lazima uwe na madigrii mangapi? Mi nataka kwa raisi bana huitaji kuwa msomi sana busara inatosha! Niungeni mkono 2015! Kura za JF tu peke yake zinatosha kuniingiza pale magogoni.
Jamani kwani kuwa raisi lazima uwe na madigrii mangapi? Mi nataka kwa raisi bana huitaji kuwa msomi sana busara inatosha! Niungeni mkono 2015! Kura za JF tu peke yake zinatosha kuniingiza pale magogoni.