kwanin bodi ya mikopo?

kwanin bodi ya mikopo?

mbugi2013

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
39
Reaction score
4
sijajua kwanini bodi ya mikopo wanachelewa kutoa majina kila mwaka na kusababisha wanachuo kutaabika vyuon,,,!
 
Transactions za pesa zinahitaji umakini sana,so maandalizi yake ni lazma yachukue muda mrefu...:::maoni:::
 
uhakiki wa taarifa nao unahitaji umakini mkubwa hivyo inachukua mda mrefu,bodi wanajitahidi sana.
 
Back
Top Bottom