M mbugi2013 Member Joined Aug 17, 2013 Posts 39 Reaction score 4 Sep 8, 2013 #1 sijajua kwanini bodi ya mikopo wanachelewa kutoa majina kila mwaka na kusababisha wanachuo kutaabika vyuon,,,!
sijajua kwanini bodi ya mikopo wanachelewa kutoa majina kila mwaka na kusababisha wanachuo kutaabika vyuon,,,!
xir jyerphy JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 994 Reaction score 184 Sep 8, 2013 #2 Transactions za pesa zinahitaji umakini sana,so maandalizi yake ni lazma yachukue muda mrefu...:::maoni:::
Transactions za pesa zinahitaji umakini sana,so maandalizi yake ni lazma yachukue muda mrefu...:::maoni:::
K kapu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 218 Reaction score 44 Sep 8, 2013 #3 uhakiki wa taarifa nao unahitaji umakini mkubwa hivyo inachukua mda mrefu,bodi wanajitahidi sana.
K KG.KASELO JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 252 Reaction score 20 Sep 8, 2013 #4 Umakin bongo,,,,,akuna kitu,,,hawa jamaaaaaaaaaaaaa,,,