kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii.
Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar es salaam.
Je hili jina la BIG kibongo bongo linaendana na kuheshimika kwenye jamii husika?