Kwanin watu wanaoitwa jina la utani BIG huwa wanaheshimika sana mtaani?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii.

Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar es salaam.

Je hili jina la BIG kibongo bongo linaendana na kuheshimika kwenye jamii husika?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hata le mutuz mtaani kwao anaitwa BIG
 
Kuna BIG na kuna BONGE, zingatia tofauti zao.
 
Big maanake tukunyema hivo ukiitwa big ni kupunguza ukali wa maneno wa kuitwa tukunyema!
 
Kama ni mnene na hueshimiki wanakuita bonge.... Sis kitaa mtu mwenye mwili na pesa ndio big
 
Ukiona mtaani kwenu unaitwa

We kaka
We mkaka

We kijana

Fahamu ya kuwa huheshimiki.
 
Biggie...lazima uwe umeenda hewani na una mwili nyumba
 
Uyo Big ni Mnene au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…