Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

Mtu yeyote asiyejali afya ( lishe Bora, mazoezi na utulivu kifikra ) hupelekea matatizo kiafya na magonjwa.

Jamani ukifika umri wa miaka 30s jidhatiti kujali afya na kuacha tabia zinahatarisha afya Yako

1. Punguza unywaji pombe
2. Fanya mazoezi
3. Zingatia lishe Bora
4. Epuka stress
5. Jishughulishe na kazi nyepesi
 
Uongo mtupu hamna kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…