Pia ajue Ronaldo role yake siku hizi ndio hiyo ya SamagoalHuyu jamaa sijui anamskia Oliver Giroud au kipindi kile cha Philipo Inzaghi,chizi kabisa na roho yake mbaya
huu utetezi wako hauna faida wachezaji wengi wapo ulaya na wanacheza style hiyo ya Samatta
Hivi Lukaku huwa anapiga vyenga na kudribble pale Manchester?Yaani nilikua nisome comments zote kisha nimtaje huyu Rud Van ,Mkuu umenisaidia
Halafu Bailey na Ndindi hawa wote ni walikua wanatokea pembeni,pale KRC ,Samata anasimama na Trosad
Sio tu chuki binafsi, hajawahi hata kucheza soka ,hata ligi ya mbuzi ,tatizo siku hz wachambuzi wengi hasa dizaini hz za mleta MadaHivi Lukaku huwa anapiga vyenga na kudribble pale Manchester?
Mleta mada anaweza kuwa na chuki binafsi na golden boy Samagoal.
Kama idadi ya magoli ndio kigezo...basi Msuva angekuwa Yanga SC mpaka sasa....na Bocco angekuwa anakipiga Zamaleck ...Mtanzania katika ubora wake, anyway uzuri tunajijua tulivyo. Mungu anisaidie nisiwe na mawazo kama haya uliyo yaandika. Kwenye mpira what count ni Goli sio mark-up. Mbwana ni striker, kazi yake ni kufunga tu mkuu, ili mradi anafunga basi hakuna shida.
Yapo magoli ambayo samatta anafunga akiwa amepunguza beki au ana drible umbali mrefu....je unawajua mastriker wanaoitwa fox in the box ambao wanatafutwa ulaya sahivi kwani toka wastaafu wakina Philip inzaghi na Rud van, siku hizi hawapo hao.
But at least walikuwa wanaweza kupunguza...But sio kwa Mmakonde wetu.Wewe jamaa ni waajabu sana!
Nestorooy na mwenzake Phili kwa namna walivyokuwa waviziaji mpaka kero...
Katika Career yao wana offside call nyingi kuliko idadi ya mabao kwenye kipind chak chote.
Yapo magoli ambayo samatta anafunga akiwa amepunguza beki au ana drible umbali mrefu....je unawajua mastriker wanaoitwa fox in the box ambao wanatafutwa ulaya sahivi kwani toka wastaafu wakina Philip inzaghi na Rud van, siku hizi hawapo hao.
Soka la sasa limebadilika sana .....Thats why watu kama hao hawawezi kudumu kwenye soka la sasa Ulimwenguni....Mkuu Ruud Van Nistelrooy alikua mshambuaji wa aina gani?Chicharito?John Dahl Thomason? Ukipata majibu ya haya jiulize na wao ni wazee wa tap in goals or what??
Nimegundua watanzania wengi mpira hawajui kinachowasaidia ni TV na hz betting ,betting zinawasaidia kufuatilia matokeo na si mchezo wenyeweKama idadi ya magoli ndio kigezo...basi Msuva angekuwa Yanga SC mpaka sasa....na Bocco angekuwa anakipoga Zamaleck ...
Aisee huyu naye ni mwanaume ameandika hiviNimekuwa nikijiuliza kwanini Mbwana Samatta ameganda pale pale Genk KRC pasi na kusonga mbele.?
Wamekuja wakina Bailey wamesepa..
Wamekuwa wakina Ndidi wamesepa...
Kwani uwezo wake unatia shaka wazungu?
Nilichogundua ni kwamba uwezo wa Samatta ni wa Ligi ndogo ndogo sana barani Ulaya.
Ukizingatia matakwa makubwa sana ya Mshambulizi kwenye soka ni kuwa na uwezo wa ziada na si kufunga mabao tu.. Mbwana amekosa mambo kadhaa ya kiufundi ambayo anatakiwa awe nayo mshambuliaji ili aweze kukidhi kumudu nafasi za juu kwenye klabu zitokazo kwenye ligi kubwa barani Ulaya.
Samatta kama Mshambuliaji amepewa vitu 2 na Mwenyezi Mungu.
1. Insticts (Inayozaa Anticipation)
2. Finishing.
Vitu ambavyo havitoshi kabisa kuhimili mikiki mikiki ya Wakubwa wa Bara la Ulaya.
Nimefualia karibia 90% ya mabao afungayo akiwa Genk ni Tap - Ins.
Kwa wasio elewa maana ya Tap-ins ni ile mipira inayokufikia miguuni au kichwani na kuikwamisha nyavuni mara mona pasi na kuipooza.
Ni nadra sana kuona Mbwana akifunga bao baada ya kupunguza walizi waliwi au watatu.
Kitu ambacho mshambuliaji aliye kamilika anatakiwa awe na uwezo wa namna hiyo pia.
Kama akikutana na defence mechanism ambayo inafanya Man to Man marking jamaa anakuwaga anatoa jasho tu kama bomba wa maji ya Dawasco lililo toboka.
Nknachokiona ni kwamba Mbwana Samatta ataishia kucheza soka Genk pekee na mwisho wa siku kustaafu soka akiwa pale pale.
Samatta wetu ni wakawaida sana.View attachment 881959
Ila mpaka leo ni mashujaa Manchester United na Ac Milan licha ya offside zao laki mojaWewe jamaa ni waajabu sana!
Nestorooy na mwenzake Phili kwa namna walivyokuwa waviziaji mpaka kero...
Katika Career yao wana offside call nyingi kuliko idadi ya mabao kwenye kipind chak chote.