Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mleta Mada ongeza bidii ,kijana hachani mkeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wachezaji wengi wanafunga magoli ya aina hiyo kwenye ligi kubwa ulaya. Labda kama umeanza kufuatilia mpira juziNimekuwa nikijiuliza kwanini Mbwana Samatta ameganda pale pale Genk KRC pasi na kusonga mbele.?
Wamekuja wakina Bailey wamesepa..
Wamekuwa wakina Ndidi wamesepa...
Kwani uwezo wake unatia shaka wazungu?
Nilichogundua ni kwamba uwezo wa Samatta ni wa Ligi ndogo ndogo sana barani Ulaya.
Ukizingatia matakwa makubwa sana ya Mshambulizi kwenye soka ni kuwa na uwezo wa ziada na si kufunga mabao tu.. Mbwana amekosa mambo kadhaa ya kiufundi ambayo anatakiwa awe nayo mshambuliaji ili aweze kukidhi kumudu nafasi za juu kwenye klabu zitokazo kwenye ligi kubwa barani Ulaya.
Samatta kama Mshambuliaji amepewa vitu 2 na Mwenyezi Mungu.
1. Insticts (Inayozaa Anticipation)
2. Finishing.
Vitu ambavyo havitoshi kabisa kuhimili mikiki mikiki ya Wakubwa wa Bara la Ulaya.
Nimefualia karibia 90% ya mabao afungayo akiwa Genk ni Tap - Ins.
Kwa wasio elewa maana ya Tap-ins ni ile mipira inayokufikia miguuni au kichwani na kuikwamisha nyavuni mara mona pasi na kuipooza.
Ni nadra sana kuona Mbwana akifunga bao baada ya kupunguza walizi waliwi au watatu.
Kitu ambacho mshambuliaji aliye kamilika anatakiwa awe na uwezo wa namna hiyo pia.
Kama akikutana na defence mechanism ambayo inafanya Man to Man marking jamaa anakuwaga anatoa jasho tu kama bomba wa maji ya Dawasco lililo toboka.
Nknachokiona ni kwamba Mbwana Samatta ataishia kucheza soka Genk pekee na mwisho wa siku kustaafu soka akiwa pale pale.
Samatta wetu ni wakawaida sana.View attachment 881959
Kinachotakiwa kutoka kwa striker ni magoliNarudia tena! Soka limepitia evolution kubwa sana.
Wangekuwapo kwenye mfumo wa hivi sasa!
Wasingefanikiwa kwa kadiri walivyo fanikiwa kipindi hiko.
Ko wew shida yako ni samagoal achambue Kama Hazard tatizo umekalia kichwa nasehemu yako yakukalia iko kichwani ko unachoandika ni takataka zilizoshindwa kumeng'enywa na mwili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa kaongea ukweli kbs, Samatta sijui kama anaweza chambua kama Hazard
Diego costa, Olivier Giroud, Jamie vardy.Soka la sasa limebadilika sana .....Thats why watu kama hao hawawezi kudumu kwenye soka la sasa Ulimwenguni....
Nitajie mshambulizi wa sasa mwenye kaliba ya Samatta kwenye Ligi kubwa .....
90% ya uchambuzi wako ni chuki dhidi ya samatta ila sikushangai kwa kuwa ni mtanzania mwenzangu roho zetu zinajulikana kwenye mafanikio ya mtu