GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
WAPUMBAVU BADO WANA ANGAIKA NA UPUUZI WA KUABUDU MAKANISANI ....HIVI WAPUMBAVU WAAMBIWE KITU GANI HILI WATAMBUE KUWA KANISA SIYO NYUMBA YA IBADA .....AU NITOE ELIMU KANISA NI NINI ? kwa kifupi hapo kale kanisa lilikuwepo ila alikuwa nyumba ya IBADA....baada ya muda SHETANI na JESHI LAKE NDIYO AKALIFANYA KANISA KUWA NYUMBA YA IBADA NA KUANZISHWA MADHEHEBU...ukimuuliza mkristo yoyote kwa nini kama kanisa ni nyumba ya ibada takatifu watu wanaingia na viatu ndani ..? Wote watashindwa kukupa jibu la kueleweka kwa sababu tangia kale kanisa lilikuwepo na watu walingia na viatu ila alikuwa nyumba ya ibada ...hadi shetani alipo badili kanisa na kulifanya nyumba ya ibada ndipo mwendelezo wa kuingia na viatu na kuto kutawaza ukaendelea na mengineyo ...Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu.
Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi zingine Zinaboa) na hupenda hasa kuwa / kukaa Siti za mbele mbele.
Asante Mungu Baba kwa Ibada Kuu ya Leo.