Kwanini abiria akijamba ndani ya ' Daladala ' huwa tunaogopana kuulizana aliyetutesa hivyo?

hahaaaah wazee wa viporo, chips yai, karanga za kuchemsha, korosho, balimi akipumua ktk usafiri wa umma ni kama imepulizwa sumu ya sarin
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Neno jepesi pale ni kupumua,na hii hasa ukute umekula mayai ya kuchemsha,ukachanganya na mbaazi na sambusa za nyama plus ndizi za kuiva...
 
Iliwahi tokea pande Za buguruni rozana..sasa jamaa mmoja c akaanza lalamika...basi akatokea MWINGINE na kumwambia Yule jamaa eti ye NDO ameachia ila kaamua kuzuga....weeeeee!!! Palichafuka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji617]
 
Iliwahi tokea pande Za buguruni rozana..sasa jamaa mmoja c akaanza lalamika...basi akatokea MWINGINE na kumwambia Yule jamaa eti ye NDO ameachia ila kaamua kuzuga....weeeeee!!! Palichafuka
Hahahahaha watoto wa mjini bwana!
 
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yule jamaa mmoja anasema tunusaneeeee.....weeeeeee
 
Back
Top Bottom