GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rejea Kichwa cha Habari kisha tiririka na serereka zako tu tafadhali. Sipandi tena ' Daladala ' za Kimara - Bonyokwa na nimekoma!
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]hahaaaah wazee wa viporo, chips yai, karanga za kuchemsha, korosho, balimi akipumua ktk usafiri wa umma ni kama imepulizwa sumu ya sarin
Hahahahaha watoto wa mjini bwana!Iliwahi tokea pande Za buguruni rozana..sasa jamaa mmoja c akaanza lalamika...basi akatokea MWINGINE na kumwambia Yule jamaa eti ye NDO ameachia ila kaamua kuzuga....weeeeee!!! Palichafuka