ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kama unakalia Kigogo jeNyuma raha yake iwe safari ndefu. Sio unapanda Morocco kwenye Ile migari mirefu ya mbagala ukashukie Manyanya wallah utajuta kukaa nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Namaanisha njia panda ya Kigogo ukitokea MagomeniNdicho unachokaliaga kwani mkuu?
Sijawahi kukutana na Kigogo kwenye daladala ndo kwanza nasikia kwako wengine mnakaliaga vigogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuma raha yake iwe safari ndefu. Sio unapanda Morocco kwenye Ile migari mirefu ya mbagala ukashukie Manyanya wallah utajuta kukaa nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app