Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

Siku hizi Kuna Teknolojia nzuri ya kutafsiri/kalimani lugha ya Kiingereza kwenda kiswahili. Hivyo, Hiki si kigezo. Kigezo JM ni mzoefu na masuala haya!
Kwahiyo mzoefu wa kuzaliwa! Hata hivyo wakalimani wapo miaka na miaka na siyo kama usemavyo siku hizi.
 
Jafo hajui kiingereza. Ana PhD ya kiswahili katika ughani wa mashairi
 
View attachment 2346895

Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Mtu sahihi aliyetakiwa kuhudhuria mkutano huo ni makamu wa raisi au waziri mwenye dhamana ya muungano na mazingira ambaye ni Seleman Jaffo...................hapa kuna uthibitisho usiotia shaka kwamba mkuu wa nchi ana watu wake anaowaamini kupita fikra za kawaida za watu wengine hivyo kuhaulisha uhusika wake kwenda kwa mtu ambaye kwa vyovyote vile anavyotaka ndiye atamtuma
 
Wazee wenye BUSARA husema nionyeshe rafiki zake nitakuambia TABIA zake.

Leo marope anaonekana Eti AKILI kubwa!!!
 
Msoga au?
hapo sijakupata? yani unauliza kama huyo wa Msoga, ndio "Mlezi" wa taifa?

hua ninamuita "Mama" mlezi wa taifa kwa sababu hajapita na kura, bali katiba na kufuata kifo cha raisi aliyekuwa madarakani. kiongozi yeyote anayerithi kiti cha mkubwa wake ambeye katangulia mbele ya haki ni "Mlezi" sio chaguo na sijawahi kuona chaguo la wananchi likidumu.
 
Unajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu, anakuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.
Daaa mkuu inaonekana umeumia sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Billions 345 zinatosha kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye nchi kubwa kama hii??
View attachment 2346895

Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
 
Back
Top Bottom