Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwahiyo mzoefu wa kuzaliwa! Hata hivyo wakalimani wapo miaka na miaka na siyo kama usemavyo siku hizi.Siku hizi Kuna Teknolojia nzuri ya kutafsiri/kalimani lugha ya Kiingereza kwenda kiswahili. Hivyo, Hiki si kigezo. Kigezo JM ni mzoefu na masuala haya!
Hahahaaa, kwani Jaffo yupo?.View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Hata Wafungwa hawamkumbuki, alitaka kuwafanya Watumwa.Tulieni mnyolewe, alisema mtamkumbuka kwa mema.
Mtu sahihi aliyetakiwa kuhudhuria mkutano huo ni makamu wa raisi au waziri mwenye dhamana ya muungano na mazingira ambaye ni Seleman Jaffo...................hapa kuna uthibitisho usiotia shaka kwamba mkuu wa nchi ana watu wake anaowaamini kupita fikra za kawaida za watu wengine hivyo kuhaulisha uhusika wake kwenda kwa mtu ambaye kwa vyovyote vile anavyotaka ndiye atamtumaView attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Wazee wenye BUSARA husema nionyeshe rafiki zake nitakuambia TABIA zake.Mtu sahihi aliyetakiwa kuhudhuria mkutano huo ni makamu wa raisi au waziri mwenye dhamana ya muungano na mazingira ambaye ni Seleman Jaffo...................hapa kuna uthibitisho usiotia shaka kwamba mkuu wa nchi ana watu wake anaowaamini kupita fikra za kawaida za watu wengine hivyo kuhaulisha uhusika wake kwenda kwa mtu ambaye kwa vyovyote vile anavyotaka ndiye atamtuma
Wanaandikiwa na maprofessor!Sasa ile Masters aliiandika Kizaramo?
People used to die in the rake!Tuwe wakweli wakuu Jaffo na PhD yake ya mchongo anaweza tema yai la malkia vema kabisa isiwe Kama ya
"Because people use die in the lake"
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hapo sijakupata? yani unauliza kama huyo wa Msoga, ndio "Mlezi" wa taifa?Msoga au?
Daaa mkuu inaonekana umeumia sanaUnajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu, anakuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.
Ndio furaha yangu
JAFO NA AWESO WANASHINDANA KUOA NA UCHAWA KWA WATAWALA/MARAISI.
NYUNGU SEASON 1 NA 2!
View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!