ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Baada ya Club ya Simba kukasirishwa na kitendo Cha Serikali kuridhia Ombi la club ya Yanga la Kusafirisha Mashabiki wake 48 kwenda Pretoria Africa ya Kusini Kwa ajili ya mechi ya pili ya marudiano, Sasa imemtuma Msemaji wake Ahmed Ally kujitokeza Hadharani na kuikashifu waziwazi Serikali ya Chama Cha Mapinduzi iliyo chini ya mama Samia.
Msemaji huyo amedai Serikali ya mama Samia imefanya jambo baya kulipia mashabiki na kwamba hata watu hao waliolipiwa na Serikali ni Machawa na Mashabiki, Kwa tafsiri yake ni kuwa Simba wao wameamua kutumia pesa zao na sio kufuja Kodi za serikali.
Ahmed ally ameenda mbali na Kusema, Ali kibao, Mwakinyo, nao wataomba washabiki zao nai wasafirishwe.
Ikumbukwe Yanga na Sio Simba ndo ilituma maombi serikalini ya kuhitaji msaada huo.
Kwa Kauli za Ahmed Ally ni wazi anaonekana anataka kuipeleka Simba kuomba pesa Kwa chadema kwani anatengeneza picha kuwa CCM ni wabaguzi.
Namsihi Ahmed Ally aombe radhi Serikali na Mashabiki wa Yanga