Kwanini Ahmed Ally hafanani na hapendezi kuwa msemaji wa klabu?

Kwanini Ahmed Ally hafanani na hapendezi kuwa msemaji wa klabu?

Ni mimi pekee naona hafai kuwa msemaji wa club!?

Sijui..naona kama hafai,
Hana hamasa . Sijui ni muonekano wake wa kishamba au sauti!?

What's ur views!?
Uto mna shida pahali. Labda huo mwiko huko nyuma unazidi kuzama.

Alipoondoka Manara, mlisema Idara ya Habari Simba SC kwisha. Hakuna tena kujaza uwanja. Hakuna tena vibe kwa mashabiki.

Kaja kijana mdogo, anawakera kweli kweli. Ameperform beyond expectations. Mnaanza tena kujitekenya.

Tunasema hivi, NA BADO.
 
Ni mimi pekee naona hafai kuwa msemaji wa club!?

Sijui..naona kama hafai,
Hana hamasa . Sijui ni muonekano wake wa kishamba au sauti!?

What's ur views!?
Unafuta mume wa kukuoa au unatakaje? Funguka watu wakufikie chobingo utuwekee picha yako tu tuthaminishe.
 
.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    17.3 KB · Views: 3
Hivi kwanini wanaume wengi wa miaka hii wanakuwa na tabia za umbeya na tabia za kike tofauti na zamani hii inasabishwa na nini yaan utakuta mwanaume mzima unafatilia mtu kila analofanya hata mambo ya kijinga kama huyu mwandishi hivi shida inakuwa nini eti au ndio hormone za kike zinakuwa zipo nyingi mwilin kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom