Kwanini Ahmed Ally hafanani na hapendezi kuwa msemaji wa klabu?

Kwanini Ahmed Ally hafanani na hapendezi kuwa msemaji wa klabu?

Ni mimi pekee naona hafai kuwa msemaji wa club?

Sijui, naona kama hafai. Hana hamasa. Sijui ni muonekano wake wa kishamba au sauti?

What's ur views?
Aisee hata mi huwa namuona hivyo sijui kwa nini
 
Achunwe ngozi jua likiwaka awe mwekundu ndo atafanana na kupendeza?
 
Ni mimi pekee naona hafai kuwa msemaji wa club?

Sijui, naona kama hafai. Hana hamasa. Sijui ni muonekano wake wa kishamba au sauti?

What's ur views?
Huyo ndiye the best kwa Simba. Hatumii maneno mengi wala kufoka, lakini ujumbe wake unamsha hamasa kama hamira inavyoumua mkate. Keep it up Ahamed, usikatishwe tamaa na mashabiki wa Yanga
 
Ni mimi pekee naona hafai kuwa msemaji wa club?

Sijui, naona kama hafai. Hana hamasa. Sijui ni muonekano wake wa kishamba au sauti?

What's ur views?
ile ya kusoma kazeti ndio kasi musuri said kwake ..
 
Nikikudaka nitakuvunja shingo panzi, panya, simbilisi, koroboi, punda.
 
Mwanaume wa kilo 40 ndio anafaa na mwingine mwenye mwanya.
Kwanza walianza hamtamfikia zeruzeru sasa kampita kwa mbali mpaka zeruzeru anapagawa na kuandika kuhusu Simba kila siku na vitisho vya kuachana na mambo ya mpira.Nyuma mwiko wameweweseka hawajui wasemalo.
 
Alinifurahisha sana siku ya simba day pale alipoingia na ngamia, huku akiwapungia mashabiki!

Na wakati huo huo akiimba kile kibwagizo chake cha wana siiimba!! Na ile sauti yake ya kulegea, hakika ilinifurahisha sana. [emoji16]
Akuwowe basi furaha yako ikamilike
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mwanaume kuanza kumjadili mwanaume mwenzako ni dalili za ushoga.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom