Ni kwa sababu moja tu! JPM, hakuwa mvivu, ni mtu aliyekerwa sana vinchi vidogovidogo kuwa juu yetu kiuchumi, Uchapakazi wake na kasi yake; maono makubwa na ya mbali kuliko ilivyotarajiwa na wengi! Ilimfanya atrend haraka na kueleweka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu bila kujua kwamba hilo lilimpatia wapinzani wengi hasa wale ambao macho yao ni kwenye kapu ili waibe kwa kuwa maisha yao wanaamini kwa hilo kwamba bila uwizi na ufisadi hawapati kitu.
Ukiniuliza leo ni kivipi Tanzania iko nyuma saana kimaendeleo? Ni kwa sababu moja tu, mpaka sasa bado Tanzania haiwahitaji watu wachapakazi, haiwahitaji watu wenye uchungu na maendeleo wenye uwezo wa kushughurikia umasikini, lakini pia, Tanzania kwa miongo mingi sasa, wasomi wetu, bado wanaamini uganga wa kienyeji mbali kwamba wanaelimu nzuri!
Nasema hivyo kwa sababu, wako wasomi wengi hawaamini katika utendaji na kwamba ukiwa mchapa kazi, vyeo vitakutafuta tu na siyo cheyo ukihangaikie! Bado wanaamini kwamba, ili mtu apande cheo ni mpaka aende kwa sangoma! Na hichi ndicho kimetukawiza na kuchelewesha maendeleo yetu!
Inawezekanaje kunakuwepo na watu wanaoitwa mawaziri mzigo na bado wapo kwenye nafasi hizo kama siyo usangoma? Ni Rais nani anayeweza kuvumilia mateso ya wananchi wake huku yakikwamishwa na mtu mmoja tu kisa ana cheyo kikubwa mahali?
Kwa nini wasomi wanadhani yaliyofanywa na JPM hayana tija kwa nchi hii kama siyo wivu? Swali hilo hilo ukiwauliza wao kwamba, Kupitia usomi wao, waorodheshe basi walichowahi kufanya, hakuna jibu!
Kwa akili ya kawaida, nibaki kumshabikia msomi mwenye kujaza mandishi jf ama nifurahie vilivyoanzishwa na wanayemdharau?
Kumekuwepo na maneno mengi sana juu ya vile shujaa huyu kavianzisha, hii unabaki ukiniuliza, hii ni kukosa uyakinifu kuvihusu?
Miradi iliyoanzishwa na JPM, kwa mtu yeyote mwenye upeo mdogo tu, atakwambia, huu ndio utajiri ujao katika nchi hii.
Umeme utashuka bei kwa sababu ya umeme utaozalishwa kupitia mradi mkubwa kabisa wa uzalishaji umeme alimarufu JKNHP
Barabara zetu hazitakuwa zikipata misukosuko tena ya kuharibika kwa haraka kwa sababu mzigo mingi mikubwa itasafirishwa kwa njia ya SGR! N.k
Sasa kazi yenu kukesha mkisema, lakini pia wasomi mnaowajibu wa kuwatoa wananchi katika mazingira magumu waliyopo sasa.