Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

Sad...πŸ˜₯
 

".. akauziwa kicheche .."
 
Tukishindwa kuzitumia vizuri hii nyembamba basi hata barabara ikitanuliwa mambo yatakuwa yaleyale.

Ajali iliyotokea ni utaratibu ule ule wa kutoachiana nafasi (keep distance) kati ya bus na bus na kufukuzana ambapo wa mbele amemgonga tanker la mafuta kilichofuata wa nyuma nae akaingia kwenye mfumo Kwa kuwa walikuwa wanakwenda jino Kwa jino
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1711611278663.jpg
    59.3 KB · Views: 3
Madereva wapumbavu sana wanakatisha maisha ya watu kwa upumbavu wao, ligi za Kijinga kabisa alafu ni watu wazima siyo watoto

.. elimu darasa hamna. Zingatia elimu darasa si elimu ya kuendesha gari.
 

Ukijiuliza league ya nini wanakimbilia nini unakosa jibu unaona ni ujinga mtupu wa dereva unagharimu roho za watu na mali za watu

Kuna haja madereva kama hawa kupigwa ban leseni zao kwa muda depend na kosa.
 
Ni ajali ya lini.
 
Kwa hiyo zote zimewaka moto?
 
Ukijiuliza league ya nini wanakimbilia nini unakosa jibu unaona ni ujinga mtupu wa dereva unagharimu roho za watu na mali za watu

Kuna haja madereva kama hawa kupigwa ban leseni zao kwa muda depend na kosa.
Tanzania kama walivyo wanasiasa na kama wafrica woote walivyo hakuna anayejali Uhai wa Mwenzake.
 
Hicho kicheche ni hilo tenka au kulikuwa na kicheche kingine(gari nyingine)?
 
We kweli Mbena
 
Wote wana makosa. Sauli ndio iliyogonga Lorry la mafuta ila New Force kwakuwa haku-keep distance akaingia nayeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…