official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 389
- 818
Wembamba wa barabara?
Acha kutetea madereva vichaa.
Chanzo hapo ni blind overtake shuhuda anasema kulikua na ligi BM, SAULI na New force hyo tanker ilikua imepaki road mbovu, BM Ndio alikua mbele akaipita afu ka kawaid aya mabus wanaovetake kama nyumbu so sauli nae akaunga akauziwa kicheche.... Pakawa padogo alivotaka kurudi akaivaa tenka huku nyuma Newforce alikua haja keep distance akamparamia Sauli ikawa hvyoo...
Stupid bus drivers
INASIKITISHA SANA MKUUMadereva wapumbavu sana wanakatisha maisha ya watu kwa upumbavu wao, ligi za Kijinga kabisa alafu ni watu wazima siyo watoto
Na ingeishia Mlandizi pia umgesema kwanini inaishia Mlandizi, maana ajali inaweza tokea mbele ya Mlandizi, sivyo?Inaishia kibaha ile
Hamna, kufikia chalinze tu magari yanakua yashaanza kusambaa route tofauti tofauti, Lkn ili iwe na tija zaidi Ilibidi iishie morogoro.Na ingeishia Mlandizi pia umgesema kwanini inaishia Mlandizi, maana ajali inaweza tokea mbele ya Mlandizi, sivyo?
Kwani iliyoishia Kibaha imezinduliwa lini?Hamna, kufikia chalinze tu magari yanakua yashaanza kusambaa route tofauti tofauti, Lkn ili iwe na tija zaidi Ilibidi iishie morogoro.
Kipandr cha mlandizi hadi mbezi ndio lango la dar kwa mikoa mingi, kwa maana kwamba gari zote sijui kutoka mbeya, arusha, mwanza, ddm, nk.... yanashare hicho kipande
Dereva anatakiwa kuendesha kulingana na hali ya barabara . Barabara nyembamba inauendeshaji wake kwa dereva anaejielewa.Ukiachana na madereva Barabara ni nyembamba mno mkuu.
Na abiria wanashangilia km mazombiMadereva wapumbavu sana wanakatisha maisha ya watu kwa upumbavu wao, ligi za Kijinga kabisa alafu ni watu wazima siyo watoto
Kivipi, hapo asingekuwa nlakufanya zaidi y kuwasha double hazard which i definitely belive aliwasha, sema smtm na abiria nao wanakuwa km mbuzi wa mnada…Dereva wa basi la BM angeweza kuwapa tahadhari hao wa nyuma yake kwa vile yeye alikuwa analiona lori lililoharibika mbele yake. Yaani wakati mwengine madereva wanaokuwa mbele wanakuwa na mamuuzi ya kishetani kabisa kwa kuwakomoa wa nyuma yake.