Kwanini AJE ilikuja?

Kwanini AJE ilikuja?

Aje ni nyimbo iliyoimbwa na msanii legendary katika mziki wa bongo flavour, Alikiba (kingkiba.)

hii nyimbo ina zaidi ya miezi tisa tangu ilipotoka, kama zilivyo nyimbo za alikiba zinapotoka huwa hazieleweki kwa urahisi mwanzo hii ni kwa kuwa utunzi wake huwa wa kuumiza kichwa, lakini baadae nyimbo hubamba.

Sasa maajabu ya hii nyimbo ni haya tangu imetoka zaidi ya miezi tisa iliyopita bado imekuwa nyimbo inayoleta mijadala mbali mbali hadi Leo ndani na nje ya nchi, kwenye vijiwe na mikusanyiko, kwenye radio na television hadi mitandao ya kijamii, hadi Leo bado team pinzani wanaumiza kichwa kuuchafua huu wimbo na kuufanya ufutike masikioni mwa wa Tanzania lakini wapi kwa kuwa good music lives long.

Hii nyimbo bado iko katika ubora wake kwa zaidi ya miezi tisa, bado inaingiza hela, bado inabeba tuzo, bado inashindana na track mpya kwa kuwa nyimbo zilizotoka pamoja na nyimbo hii zilishajifia. South Africa, Nigeria Ghana na sehemu nyingine za dunia Leo wanaiongelea nyimbo ya aje kama imetoka Leo.

Kuna team bado inapambana na huu wimbo hadi Leo utadhani ni wimbo mpya,na kwa kadri wimbo unavyochafuliwa unazidi kupenya kwa majungu ni promo nzuri kuliko yoyote. kwa nini aje ilikuja?

Ukikuta mjadala wowote katika mitandao ya kijamii kuhusu mziki wa bongo flavour basi jua watanzania wanajadili aje.

AJE ni maana halisi ya mziki mzuri, mziki mzuri hudumu, leo kijuso nyimbo ya hivi karibuni inashindanishwa na aje kwa habari ya video, aje yenye zaidi ya miezi tisa tangu ilipotoka,

KWA NINI AJE ILIKUJA?
ddab990362fb8a9e55949931cdf26ab4.jpg
Aje ya Ali kiba il heat ikaisha ila ile Remix ft MI ndio ameiamsha tena imfikishe mbali
 
Wasio jua wanaponda ila remix kali balaa mashoga wa madela wakimtafuta m i kwny remix wakaanza kuponda video m i hayupo waka kumbuka kumbe video ya sorry ya Justin bieber hakuonekana na ika hit waka tuliza sifuri makunjo yao chin video kali haina mambo mengi sio kutewekea magari 60 na wapiga debe Wa makumbusho kibao aje wako wawili tu *****
 
Usifananishe sorry na mambo ya kijinga
 
Kwamba unataka nini labda kwa mfano!?? Akili za kuazimwa hizi!!!!
 
Umeandika nn apo Dada angu......kokoro jiwe LA mwezi kajiandae imefia wapi na iyo aje remix ndani ya week ishakufa
Wana wake wamadela bana mnaisifu kokoro ahahahahhaha shuba mit kajiandae imekujaje kwny kokoro na kajiandae huwez kufananisha na ule upuuz hata siku moja naona mna kaugonjwa kanakoitwa ajelisim mana kame wafanya mutoe mpk visivy tolewa ila aje imebek pale pale pole ni wazee wasifa
 
Teh teh teh!..Huyu mleta uzi buana.Imagine kwa soko la muziki sasa hivi utazunguka hata tour ya afrika mashariki ukiwaimbia watu wimbo mmoja tu eti "AJE".Tuache izi mambo za team na tue wawazi mtu anapokosea.Hivi hamjui uyo kiba wenu mnamduwaza,mtaishia kusema ivo ivo wakati tasnia ya muziki inabadilika.Siku kiba ataombwa CV yake,Nyimbo inayomtambulisha kimataifa itakua moja tu!.Hamuoni kwamba kama ni opportunity atapoteza na tayari atakua na madhaifu.
 
Wana wake wamadela bana mnaisifu kokoro ahahahahhaha shuba mit kajiandae imekujaje kwny kokoro na kajiandae huwez kufananisha na ule upuuz hata siku moja naona mna kaugonjwa kanakoitwa ajelisim mana kame wafanya mutoe mpk visivy tolewa ila aje imebek pale pale pole ni wazee wasifa
povu sasa......nyimbo zinabuma tu mmebakiza majungu kokoro jiwe la mwezi na week ijayo richi anapewa certificate na clouds media nyie na kajiandae yenu ipo wapi wazee wa masebene
 
Back
Top Bottom