NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Anapiga show kwenye kumbi za kuonyesha mpiraNasikia leo yupo na shoo hohansbug tunasubiri ka video
Aje ya Ali kiba il heat ikaisha ila ile Remix ft MI ndio ameiamsha tena imfikishe mbaliAje ni nyimbo iliyoimbwa na msanii legendary katika mziki wa bongo flavour, Alikiba (kingkiba.)
hii nyimbo ina zaidi ya miezi tisa tangu ilipotoka, kama zilivyo nyimbo za alikiba zinapotoka huwa hazieleweki kwa urahisi mwanzo hii ni kwa kuwa utunzi wake huwa wa kuumiza kichwa, lakini baadae nyimbo hubamba.
Sasa maajabu ya hii nyimbo ni haya tangu imetoka zaidi ya miezi tisa iliyopita bado imekuwa nyimbo inayoleta mijadala mbali mbali hadi Leo ndani na nje ya nchi, kwenye vijiwe na mikusanyiko, kwenye radio na television hadi mitandao ya kijamii, hadi Leo bado team pinzani wanaumiza kichwa kuuchafua huu wimbo na kuufanya ufutike masikioni mwa wa Tanzania lakini wapi kwa kuwa good music lives long.
Hii nyimbo bado iko katika ubora wake kwa zaidi ya miezi tisa, bado inaingiza hela, bado inabeba tuzo, bado inashindana na track mpya kwa kuwa nyimbo zilizotoka pamoja na nyimbo hii zilishajifia. South Africa, Nigeria Ghana na sehemu nyingine za dunia Leo wanaiongelea nyimbo ya aje kama imetoka Leo.
Kuna team bado inapambana na huu wimbo hadi Leo utadhani ni wimbo mpya,na kwa kadri wimbo unavyochafuliwa unazidi kupenya kwa majungu ni promo nzuri kuliko yoyote. kwa nini aje ilikuja?
Ukikuta mjadala wowote katika mitandao ya kijamii kuhusu mziki wa bongo flavour basi jua watanzania wanajadili aje.
AJE ni maana halisi ya mziki mzuri, mziki mzuri hudumu, leo kijuso nyimbo ya hivi karibuni inashindanishwa na aje kwa habari ya video, aje yenye zaidi ya miezi tisa tangu ilipotoka,
KWA NINI AJE ILIKUJA?
Usifananishe sorry na mambo ya kijingaWasio jua wanaponda ila remix kali balaa mashoga wa madela wakimtafuta m i kwny remix wakaanza kuponda video m i hayupo waka kumbuka kumbe video ya sorry ya Justin bieber hakuonekana na ika hit waka tuliza sifuri makunjo yao chin video kali haina mambo mengi sio kutewekea magari 60 na wapiga debe Wa makumbusho kibao aje wako wawili tu *****
Sasa Aje original ilimpeleka kimataifa 15+ international award.
Uogopi hii remix itampeleka umbali gani?!
Mambo yakijinga km kokoro au mana nyie akina dada wa madela hamuishiw vitukoUsifananishe sorry na mambo ya kijinga
Umeandika nn apo Dada angu......kokoro jiwe LA mwezi kajiandae imefia wapi na iyo aje remix ndani ya week ishakufaMambo yakijinga km kokoro au mana nyie akina dada wa madela hamuishiw vituko
Inaenda fresh.Tour yake ya South inaendeleaje mkuu?
Nasikia inafanyika kwenye kumbi za kuonyeshea mpira eti ni kweliInaenda fresh.
Karibu tujumuike.
Nyani haoni .....!Diamond alivyorudia Number 1 aliishiwa mashahiri?!
Wana wake wamadela bana mnaisifu kokoro ahahahahhaha shuba mit kajiandae imekujaje kwny kokoro na kajiandae huwez kufananisha na ule upuuz hata siku moja naona mna kaugonjwa kanakoitwa ajelisim mana kame wafanya mutoe mpk visivy tolewa ila aje imebek pale pale pole ni wazee wasifaUmeandika nn apo Dada angu......kokoro jiwe LA mwezi kajiandae imefia wapi na iyo aje remix ndani ya week ishakufa
Inaenda fresh.
Karibu tujumuike.
Kule Kule kwa janaAnapiga kwenye Ki- Bar gani weekend hii?
povu sasa......nyimbo zinabuma tu mmebakiza majungu kokoro jiwe la mwezi na week ijayo richi anapewa certificate na clouds media nyie na kajiandae yenu ipo wapi wazee wa masebeneWana wake wamadela bana mnaisifu kokoro ahahahahhaha shuba mit kajiandae imekujaje kwny kokoro na kajiandae huwez kufananisha na ule upuuz hata siku moja naona mna kaugonjwa kanakoitwa ajelisim mana kame wafanya mutoe mpk visivy tolewa ila aje imebek pale pale pole ni wazee wasifa