Kwanini ajira za maofisa katika balozi zetu Huwa haziwekwi wazi?

Kwanini ajira za maofisa katika balozi zetu Huwa haziwekwi wazi?

Kuwa Balozi si lazima uwe umesoma Diplomacy (International Relations). Ni sawa na waziri ulinzi, si lazima awe askari. Ndiyo maana uliona akina Commander Simon Silo, na wengi tu toka JW wanateuliwa kuwa Mabalozi.
Siro kasomea diplomacy university?.
 
Tuna tengeneza taifa lenye visasi saana. Miaka sio mingi tutaona vijana ambao hawajawahi kuwa na ndugu serikalini wakijenga chuki na uhasama ambao uasababisha mapinduzi.

Tuhesabu miaka tu. Kila sehemu yenye ulaji majina Yale Yale.....utadhani wengine sio watanzania.
Kama ile list ya BOT iliwavua nguo vibopa woote wa Tanganyika.
 
Zinatangazwa kila mwaka mkuu....zinaitwa foreign service officer ukipata wasaa fuatilia...nahisi kila mwaka mara ya mwisho kutangazwa ilikua mwaka jana mwezi wa 4 hadi wa 7 wakaajiriwa ilikua kupitia utumishi....waliajiriwa zaidi ya 35....kwenye qualifications wanaoruhusiwa ku apply ni watu waliosoma political science,international relations,Bussiness Administration,Economics,public policy na zinazoendana....na za mwaka jana watu kibao waliosoma udsm political science walifaulu izo interview na wakachukuliwa sasa hivi wako balozi mbali mbali na walitoka familia za kawaida tu....ukipata wasaa fuatilia kuhusu ilo mkuu
Shukrani
Hizi zilizotangazwA saivi ume apply?
 
Back
Top Bottom