Kwanini ajira za walimu hazitangazwi?

Kwanini ajira za walimu hazitangazwi?

IMANI MWANUKE

New Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
2
Reaction score
1
nashindwa kujua tatizo linalokwamisha kutangaza ajira za walimu, kama bajeti ilikwisha kupangwa, nini tatizo?
 
Nimepata fununu toka kwa baadh ya wakubwa serikalini kuwa zisipotoka tarehe 25 siku ya ijumaa basi ni tarehe 28 jumatatu.
 
Habari za chini ya kapeti!kutoka kwenye chumba cha Mh Mulugo! Zinadai kuwa wizara yake haikubakiza hata chenji! Na hizo pesa serikali ilikuwa imekopa NSSF,, mwaka huu wameenda tena NSSF,kukopa tena wakaambiwa pesa zote tumepeleka KIGAMBONI KUJENGA DARAJA! Ila msiwe na wasi Mkulu leo yuko Kwa Hollande!na kapu lake na asipopata anapita pale kisima cha pesa Chafu (USWIS)Ili awatolee fungu lake kidogo!MSKATE TAMAA SOON MTAKUWA Hewani!
 
Hata wasitoe hizo ajira mie naendesha tax inanilipa vizuri tu. Nashukuru nina kadegree.
 
Serikali haina pesa za kuajiri kwa sasa ndio maana imekaa kimya ikumbukwe naibu waziri elimu yake ni la saba D hana uchungu na elimu yetu kazi kushinda media kupiga porojo.
 
Watu wasio wadau wa elimu wanapotosha yaliyopaswa kusemwa kwenye jukwaa la elimu.Kuna majukwaa ya mapenzi ,vichekesho na kejeli nendeni huko panawafaa zaidi.
 
Jaman hebu watuonee huruma tumechoka kukaa nyumbani hadi tumeanza kujuta kwann tulisoma ualimu Tanzania
 
jk na mulugo waliahidi januri, hawakusema tarehe so kuweni wavumilivu january bado haijaisha!! maswali yaje 1february!!!
 
Mulugo anapenda media kweli lakini utendaji zero na elimu yake ya darasa la saba D.
 
Back
Top Bottom