Kwanini akinadada hatuwezi kuomba gegedo...?

ah kwa mwanamke hamnaga kuomba kwa kuongea,kama maneno unashindwa hata vitendo?!.kitendo cha kukaa kimitego tego,mara umejishka hapa mara pale,macho yamelegea huku unampapasa dushelele!! .mwenyewe ataelewa tu!


Mom Fay, unapaswa kujua uamuzi wa kusema bila tafsida, kusema kwa tafsida au kuonyesha vitendo inategemea Malezi na jamii uliyokulia, msimamo wa kiimani (dini) na peer group uliyokulia. wengine hawaogopi kusema tena hawana aibu lakini wengine hawezi kusema inabidi afanye kwa matendo
 
Last edited by a moderator:
kuna siku kulikuwa na game ya uefa, nikawa na nacheki sebuleni! gafla mamsap akaita kutokea chumbani "......vp hiyo mechi ngapi ngapi? nikamjibu bado bila bila, njoo mara 1 uwaonyesha jinsi ya kuscore! nilipoenda sikurudi tena sebuleni!"

Hahaha..hiyo kali...safi sana ukipata mamsap aliyepagawa kama huyo... Nitupie nambazake
 
Ahahahaha hiyo kuomba hakunaga mwanamke inatakiwa ujue kujitegesh yy mwenyew ataingia tu kwnye 18 sy had uongee
 
Konnie hebu nifundishe kujinaniliu .enhenhrh na picha puleeez ili nielewe haraka.nataka nimuweke mtu Kene 36 kabisa sio 18
 
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu.
me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa najitosa nikitaka mzigo naomba kama kawa.

hivi kwa watu wanaoishi pamoja kuna kuombana kweli? wala hauna haja ya kutongozana, we lala bila chupi na nightdress yako halaf lala mkumbatie casually utapata majibu bila kuuliza swali. hizi vitu zinasumaku eti, moja ikiwa na hamu ukiisogeza kwenye radius nyingine inanasa automatically!
 
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu.
me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa najitosa nikitaka mzigo naomba kama kawa.

Kama ni mume kazi ndogo sana mimi my wife wangu akishika pembe langu tu ninajua kuwa anataka mchezo wala siulizi swali naanza kumshughulikia,!!!!!!!!!
 
daah inanibidi nicheke tu japo naumwa malaria na typhoid jf bhana hatareee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…