ah kwa mwanamke hamnaga kuomba kwa kuongea,kama maneno unashindwa hata vitendo?!.kitendo cha kukaa kimitego tego,mara umejishka hapa mara pale,macho yamelegea huku unampapasa dushelele!! .mwenyewe ataelewa tu!
Mom Fay, unapaswa kujua uamuzi wa kusema bila tafsida, kusema kwa tafsida au kuonyesha vitendo inategemea Malezi na jamii uliyokulia, msimamo wa kiimani (dini) na peer group uliyokulia. wengine hawaogopi kusema tena hawana aibu lakini wengine hawezi kusema inabidi afanye kwa matendo
Last edited by a moderator: