Kwanini akinadada hatuwezi kuomba gegedo...?

kuna siku kulikuwa na game ya uefa, nikawa na nacheki sebuleni! gafla mamsap akaita kutokea chumbani "......vp hiyo mechi ngapi ngapi? nikamjibu bado bila bila, njoo mara 1 uwaonyesha jinsi ya kuscore! nilipoenda sikurudi tena sebuleni!"
 
Mimi wa kwangu huwa anakuwa na kisirani sana, ikifikia hapo huwa najua cha kufanya
 
kuna siku kulikuwa na game ya uefa, nikawa na nacheki sebuleni! gafla mamsap akaita kutokea chumbani "......vp hiyo mechi ngapi ngapi? nikamjibu bado bila bila, njoo mara 1 uwaonyesha jinsi ya kuscore! nilipoenda sikurudi tena sebuleni!"

Mkuu nimecheka sana!,mkeo noma!
 
Mimi ananifahamu kabisa mshipa wa aibu niliuzika zaman tena sio kwenye makaburi ya makumbusho.

ananielewa nikitaka ooh mara moja napata namwambia tu kama hayuko kwenye mood ntamchokoza weee had mike itaamka yenyewe kinachofuata hapoo ni balaa yan inakuwa kama yeye ndio aliyeanzisha.

huhuhuhuuhuhuuuuu makubwa haya jaman looo!!!!

duuuuh, kweli hali ya hewa ni "mbaya"
 
kwa mume wangu niombe heeee it will never hapen ...

picha tu atajua nina kiu kubwa ya kukunwa....body language huwezi,hta mikono,maneno.
 
Mimi ananifahamu kabisa mshipa wa aibu niliuzika zaman tena sio kwenye makaburi ya makumbusho.

ananielewa nikitaka ooh mara moja napata namwambia tu kama hayuko kwenye mood ntamchokoza weee had mike itaamka yenyewe kinachofuata hapoo ni balaa yan inakuwa kama yeye ndio aliyeanzisha.

huhuhuhuuhuhuuuuu makubwa haya jaman looo!!!!

Dah mpaka nikatamani huwe wangu
 
Hahahahahaha mic ikisimama unaanza kuchana mistari sipati picha unavyokuwa......LOL
 
Mimi ananifahamu kabisa mshipa wa aibu niliuzika zaman tena sio kwenye makaburi ya makumbusho.

ananielewa nikitaka ooh mara moja napata namwambia tu kama hayuko kwenye mood ntamchokoza weee had mike itaamka yenyewe kinachofuata hapoo ni balaa yan inakuwa kama yeye ndio aliyeanzisha.

huhuhuhuuhuhuuuuu makubwa haya jaman looo!!!!

Aiseeeh!
 
Kuku ni wako manati ya nini, jivutie maana siku zote sumaku hunasa vitu vyote vyenye asili ya chuma
 
Haaah!! Yani nife na kiu wakati mto umefurika??? Thubutuu!!! We baba naniu njo unirenge !!!! Ha ha ha !!!

Exactly! Ulishawahi kumuona simba jike akiwa kwenye heat? Ndivyo mnavyopaswa kufanya!
 
Mimi ananifahamu kabisa mshipa wa aibu niliuzika zaman tena sio kwenye makaburi ya makumbusho.

ananielewa nikitaka ooh mara moja napata namwambia tu kama hayuko kwenye mood ntamchokoza weee had mike itaamka yenyewe kinachofuata hapoo ni balaa yan inakuwa kama yeye ndio aliyeanzisha.

huhuhuhuuhuhuuuuu makubwa haya jaman looo!!!!

hiki ni kipindi cha mvua kuweni makini
 
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu.
me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa najitosa nikitaka mzigo naomba kama kawa.

Embu nipe mistari ya kuomba gegedo?
 
Back
Top Bottom