Kwanini Al-Ahly walimchagua Konde boy na sio Banda?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwa vyovyote vile kuondoka kwa Moquissone na Chama kumeiumiza Simba, no doubt.

Miquissone alikuwepo na Banda alikuwepo lakini mmoja kaenda Al-Ahly na mwingine kaja Simba. Tusidanganyane, Banda sio Miquissone hata kwa robo. Tukaze buti
 
LJoseeM kiwango chake si chakucheza simba yule ni level nyingine
 
Kwa vyovyote vile kuondoka kwa Moquissone na Chama kumeiumiza Simba, no doubt.

Miquissone alikuwepo na Banda alikuwepo lakini mmoja kaenda Al-Ahly na mwingine kaja Simba. Tusidanganyane, Banda sio Miquissone hata kwa robo. Tukaze buti

Mshalipiwa huko Morroco. Mnasubiriwa mkachomoe huo mwiko nyuma....
 
kwani imekuwaje ibenge amchukue kisinda badala la moloko wakati moloko ni mkali zaidi ya kisinda ahahahah
 
Kisinda ni bora kuliko Jesus, no doubt about it. Hakuna aliyesema Jesus no bora kuliko TK. Banda sio Bora kuliko konde boy, Simba imeumia.
kwani imekuwaje ibenge amchukue kisinda badala la moloko wakati moloko ni mkali zaidi ya kisinda ahahahah
Ibenge anawqfahamu, TK ni bora kuliko Jesus', hivyohivyo Konde boy ni bora kuliko Banda. Tofauti ni kwamba TK hakuisaidia Yanga sana kama Konde boy alivyoisaidia Simba
 
Sasa ndicho simba itakifanya kwa Banda kumboresha kwahiyo ondoa wasiwasi atakuwa tu kama miq
Luis ni mwanaume hiki kibwabwa akiwezi ile mikwanja aliyokua anapigwa luis,ligi yetu ina mabeki wakatili sana,kiukweli mikia msubiri maumivu tu,konde mmepoteza mtu pale

Screenshot_20210803-204624_Instagram.jpg
 
Luis ni mwanaume hiki kibwabwa akiwezi ile mikwanja aliyokua anapigwa luis,ligi yetu ina mabeki wakatili sana,kiukweli mikia msubiri maumivu tu,konde mmepoteza mtu pale

View attachment 1891404
Miquissone na Chama kuondoka kwa wakati mmoja sio jambo dogo. Zaidi ya robo tatu kama sio theluthi mbili ya magoli ya Simba yamechangiwa na hawa wanaume 2
 
Luis ni mwanaume hiki kibwabwa akiwezi ile mikwanja aliyokua anapigwa luis,ligi yetu ina mabeki wakatili sana,kiukweli mikia msubiri maumivu tu,konde mmepoteza mtu pale

View attachment 1891404
Sasa kama kuhimili kuhimili mikwanja ndio ubora wa mchezajii hao wakina Chama wangechukuaje uMVP mbele ya watu wagumu kama wakina Duma na Ninja ambao kwa kuhimili mikwanja wanamuacha mbaaali Chama Cletus
 
Back
Top Bottom