Kwanini Al jazeera huwa hawaoneshi video za Walestina wanaopinga Hamas?

Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera!

Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua

View: https://youtu.be/5JJK0X7D82w?si=BsTgKOsUjPAt__gz

Mkuu kuanzia leo elewa hivi: duniani hakuna habari ya BURE kila habari unayolishwa kuanzia Ile ya Godfrey Monyu Hadi CNN zote ni kwa ajili ya manufaa ya "Watu wachache wanaoamua kipi uambiwe na kipi wakufiche"
Kwanini hujiulizi Hadi Leo Chadema hawana chombo chochote cha habari?
 
Heeh mbona chadema
 
Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera!

Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua

Webabu Ritz FaizaFixy Malaria 1 Jagina

Nadhani tupitishe azimio tuseme hawa wametumwa na Mayorhood kuongea hivi. Hawa siyo Maarab. Tuseme hivyo. Ninyi mnaonaje? Au tuseme ni waisrael wametumwa kuharibu au kufitinisha. Bahati nzuri sura zao zipo zinaonekana kwa wazi.
 
Back
Top Bottom