Kwanini Ali Kiba hajaonekana kabisa kwenye msiba wa mke wa Babu Tale?

Kwanini Ali Kiba hajaonekana kabisa kwenye msiba wa mke wa Babu Tale?

Hellow wadau mambo vipi.

Unajua Nini nilikuwa nacheki TV dakika kadhaa zilizopita nikamona Ali Kiba na wimbo wake. Basi nikakumbuka kitu huyu Ali sijasikia akitoa pole, rambirambi wala kufika mazikoni.

Je, ana shida gani? Sio umbeya but ye ni star lazima tuulizie. Au vipi wadau?
We uilienda?
 
Kuhudhuria msibani,kutoa rambi rambi hivyo vyote ni vitu vya hiari. Huwezi kumlazimisha mtu kutoa rambi rambi au kuhudhuria,au kumuuliza kwanini hajahudhuria.
 
Back
Top Bottom