Mecheka hadi basi [emoji23]mbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.
Nmecheka sana apa!mbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.
Hivi wachafu ni record label au home recording studio?....Wakati yeye ni shareholder kuna kidume kinamiliki lebo ya music, hakishei na mtu..
Sent using Jamii Forums mobile app
What were those 7 major endorsements...jus tell us.Naona mziki unaeashinda unaenda kwenye endosment. Mwaka Jana kama unakumbuka Alikiba akiwa SA alitia saini mikataba mikubwa saba(7 major endosmemnt) Ebu jaribu Ku search unaweza kuondoa ujinga wako
great thinker
ktk dunia ya kibiashara hakuna tangazo linalofichwa.ukiona linafichwa jua ni siri sio tangazo la kibiashara hilo.Kafanya matangazo mengi sana, ila hapendi tu show off ndio maana hauyaoni.
si ndo hapo!Jiongeze... Kwa akili za kawaida tu kuna kampuni inaweza kumlipa mtu afanye tangazo af wasilitangaze kisa jamaa hapendi show off?
Povu zitooooo. ukisikia yalaaa ujue kimenuka......nyie ndo mnaweweseka na domo ndo maana page zenu za insta zimejaa picha za domo.kila siku mnakesha na kusema Kiba hamuwezi Mondi ila kila atachifanya mondi mnalinganisha na kiba jamani mna matatizo gani? si mumlinganishe mondi wenu na wanaoweza wenzake mbna mnaweweseka na kiba?...kuanzia boss wenu mondi had mashabiki wote mnaweweseka na kidume afu chenyewe kipo kimya tu puumbav
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
endeleeni kupiga kelele jamaa anatusua tu afu kimya kimya sawa...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]