Kwanini Ali Kiba hapati offer za matangazo ya makampuni makubwa kama Diamond Platnumz?

Kwanini Ali Kiba hapati offer za matangazo ya makampuni makubwa kama Diamond Platnumz?

3491de2634ac3f2a0bf713cd06a22656.jpg
][/QUOTE]

Kwa hyo jamaa anatoa msaada Kwa matajiri [emoji23][emoji23] inavyoonekana kakosa wa kuwapa msaada, aache usaniii hao GSM wanaweza kumvalisha na kumvisha maisha yake yote yy na familia yake
 
Tan
Povu zitooooo. ukisikia yalaaa ujue kimenuka......nyie ndo mnaweweseka na domo ndo maana page zenu za insta zimejaa picha za domo.[/QUOTE
HATUWEWESEKI NA WAKATAA WATOTO SISI WW KIBA MLISHAMPAMBANUSHA NA MARLAW,BLUE, NA SASA MNAMPAMBANISHA NA HUYO KENGE MKATAA WATOTO NA BADO ANAWACHAPA SI KITOTO [HASHTAG]#JESHI[/HASHTAG] LA MTU MMOJA
 
Hana ushawishi wake binafsi. Kuna genge la watu wachache wanatumia media zao kumkweza. Wenye matangazo hupitia factor zote.

Kwa ufupi hana fun base kubwa.
 
mbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.
Yayayayayayayayayaaaaqh
 
mbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.

hahahaha we jamaa wewe dah
 
mbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.
hahahahaha we jamaa wee dah! hahahahahaa ila asante nimepunguza stress
 
Mbona wapo sawa tu wote wamezalisha kila mtoto na mama yake wote hawajaoa wote wame meza ndom wote international artists tofauti yao mmoja ni ambassador wa manhood yake, Sketi isimpite
 
Naona mziki unaeashinda unaenda kwenye endosment. Mwaka Jana kama unakumbuka Alikiba akiwa SA alitia saini mikataba mikubwa saba(7 major endosmemnt) Ebu jaribu Ku search unaweza kuondoa ujinga wako

great thinker
afu akarudi kuishi kwa maza
 
kila siku mnakesha na kusema Kiba hamuwezi Mondi ila kila atachifanya mondi mnalinganisha na kiba jamani mna matatizo gani? si mumlinganishe mondi wenu na wanaoweza wenzake mbna mnaweweseka na kiba?...kuanzia boss wenu mondi had mashabiki wote mnaweweseka na kidume afu chenyewe kipo kimya tu puumbav
mpaka mpende show off mwaka huu
 
ooh hana hela, ooh hana nyumba, hana ofisi, ana kiburi, mchoyo, hajui kuimba, kiuno kigumu hajui kucheza, video zake mbaya...kwa muelewa yyte ataelewa kwamba mnafatilia sana habari za king kiba na ndo maana kila siku hamkos cha kuongea juu yake..that's show how much u luv guys mnampenda au mnamhofia king..na sisi tunawachora tuu
king of no show off
 
Back
Top Bottom