lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
][/QUOTE]
Kwa hyo jamaa anatoa msaada Kwa matajiri [emoji23][emoji23] inavyoonekana kakosa wa kuwapa msaada, aache usaniii hao GSM wanaweza kumvalisha na kumvisha maisha yake yote yy na familia yake
Povu zitooooo. ukisikia yalaaa ujue kimenuka......nyie ndo mnaweweseka na domo ndo maana page zenu za insta zimejaa picha za domo.[/QUOTE
HATUWEWESEKI NA WAKATAA WATOTO SISI WW KIBA MLISHAMPAMBANUSHA NA MARLAW,BLUE, NA SASA MNAMPAMBANISHA NA HUYO KENGE MKATAA WATOTO NA BADO ANAWACHAPA SI KITOTO [HASHTAG]#JESHI[/HASHTAG] LA MTU MMOJA
Yayayayayayayayayaaaaqhmbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.
mbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.
hahahahaha we jamaa wee dah! hahahahahaa ila asante nimepunguza stressmbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.
ndo tangazoKiba ashaimba na R Kelly, sema hapendi kiki za kishamba kama Diamond tu.
afu akarudi kuishi kwa mazaNaona mziki unaeashinda unaenda kwenye endosment. Mwaka Jana kama unakumbuka Alikiba akiwa SA alitia saini mikataba mikubwa saba(7 major endosmemnt) Ebu jaribu Ku search unaweza kuondoa ujinga wako
great thinker
mpaka mpende show off mwaka huukila siku mnakesha na kusema Kiba hamuwezi Mondi ila kila atachifanya mondi mnalinganisha na kiba jamani mna matatizo gani? si mumlinganishe mondi wenu na wanaoweza wenzake mbna mnaweweseka na kiba?...kuanzia boss wenu mondi had mashabiki wote mnaweweseka na kidume afu chenyewe kipo kimya tu puumbav
king of no show offooh hana hela, ooh hana nyumba, hana ofisi, ana kiburi, mchoyo, hajui kuimba, kiuno kigumu hajui kucheza, video zake mbaya...kwa muelewa yyte ataelewa kwamba mnafatilia sana habari za king kiba na ndo maana kila siku hamkos cha kuongea juu yake..that's show how much u luv guys mnampenda au mnamhofia king..na sisi tunawachora tuu
yap pale triple A msalimie angel na neemaKuna sku aliwah kukuomba
Pesa ya kula
Triple A