ebu tu kotie na mipasho ya kiba kwa mond au yeye hajawahi toa miipasho
Kiba katoa mipasho ila hajasema aliyoyasema Diamond janaebu tu kotie na mipasho ya kiba kwa mond au yeye hajawahi toa miipasho
Me huwa nawashangaa hapo tu....wkt umefika kiba atambue kuwa hana mashabiki real.Ndio.
Kiba hana fans bali ana antfans wa mondi. Ndo maana upepo ukimjia msanii flani wote wanahamia huko kama darasa na harmorapa. Kwenye page zao zimejaa post za mondi kuliko za kibakuli. It's obvious sio fan wa kiba bali antfans wa mondi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Madai yao eti dj alinunuliwa ndio maana alijibu vile[emoji23][emoji23]Porojo na wakati DJ alokuepo kwa stage alithibitisha hilo!.
Hayo ni mashairi kwenye nyimbo yake mpya mkuu, usispanicHabarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe.....
Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!
View attachment 481074
Haaaa haaaaKatika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Huyu mbwa ndio maana anafanana na bushman.....sasa anadhani kaogopwa nini hapoHabarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe.....
Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!
View attachment 481074
ebu tu kotie na mipasho ya kiba kwa mond au yeye hajawahi toa miipasho
Kiki??anatafuta kick boya yule
Dai alipokuwa akimkashifu mwenzio hamkuwa mnaona au mnajifanya vipofu ,??? Akitaka amwombe mwenzie msamaha na sio kusema mm sina bifu na Alli iyo haitoshi apo nikujijitaekenya kwanini asiseme ali nisamehe kwakukukashifu kipindi kile sana .anatafuta kick boya yule
Hawa mashabiki hewa wa kiba.ka ni wabishi hadi kwenye jambo linaloonekana kwa macho tu!.Madai yao eti dj alinunuliwa ndio maana alijibu vile[emoji23][emoji23]
Hivi mbona sijaona aliposema hataki bifu liishe? Kwanini mashabiki wa dai huwa wanajihisi sana!!Usipanic
Una uhakika ukisemacho? kabla ya kiitwacho bifu Alikiba aliuza album mbili kwa mafanikio moja kwa mujibu wa kora Awards iliongoza kwa mauzo Afrika mashariki...Me huwa nawashangaa hapo tu....wkt umefika kiba atambue kuwa hana mashabiki real.
tupe source au link cyo story za kwenye kahawaUna uhakika ukisemacho? kabla ya kiitwacho bifu Alikiba aliuza album mbili kwa mafanikio moja kwa mujibu wa kora Awards iliongoza kwa mauzo Afrika mashariki...
Hao wanunuzi walikuwa wakimchukia nani ?