Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

13144d6238e0a50520966bc014f2c0d8.jpg
ebu tu kotie na mipasho ya kiba kwa mond au yeye hajawahi toa miipasho
 
Wacha niwashangae mnaojifanya kumuona diamond leo kua ni innocent man, yaani kajamaa jana kamejiongelesha pale na kamawawin kweli watu, hivi tu story twake twa jana ndo tunakufanya kabisa ukaone kajamaa hakana ugomvi na kibakuli, taarabu zote kanazozitoaga mara mziki wa flani wa chalinze, mara tunapiga show za kimataifa wao wanapiga dodoma na maneno kibao kameyaongea live na nyie mnakuja hapa kujifanya kako safi duu!! watanzania hatari kweli.

Leo kanasema kanataka bushman auze nyimbo katika site yake kwa sababu kanajua kabisa kataingiza pesa nyingi na akikubali tu japo navyomjua bushman hawez kubali hata siku moja kataanza shombo zake mara ooo wanajipendekeza halafu zitaanza kutolewa statistics za uongo utasikia nje ya wasafi anaeongoza kuuza ktk site yetu ni Timbulo yaan alikiba atakuja kuonekana anazidiwa kimauzo na Timbulo kama hamjui kijamaa kinachotafuta. na bush man alichokifanya jana ni kukitolea tu uvivu maana ki uhalisi bifu lipo kati ya wote hao hakuna wa kujifanya mwema, wote huwa wanatutiana maneno ya shombo, hivi unataka kuniambia ni kweli Diamond kamfahamu Kiba kupitia dadake Kijuso? hebu kuweni watu wazima basi sio kajamaa kanawachezesha sindimba labda kama wote mnaotetea ni wafuasi wake
 
Ndio.
Kiba hana fans bali ana antfans wa mondi. Ndo maana upepo ukimjia msanii flani wote wanahamia huko kama darasa na harmorapa. Kwenye page zao zimejaa post za mondi kuliko za kibakuli. It's obvious sio fan wa kiba bali antfans wa mondi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Me huwa nawashangaa hapo tu....wkt umefika kiba atambue kuwa hana mashabiki real.
 
Habarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe.....

Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!

View attachment 481074
Hayo ni mashairi kwenye nyimbo yake mpya mkuu, usispanic
 
Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Haaaa haaaa

isho-boy ndani ya nyumba
 
Habarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe.....

Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!

View attachment 481074
Huyu mbwa ndio maana anafanana na bushman.....sasa anadhani kaogopwa nini hapo
 
anatafuta kick boya yule
Kiki??
Walivokua wanamdhihaki yeye na famili yake kwenye media
na wakati ule wa sallam hadi kuongea fyongo bin mashombo kwenye show ya mombasa mnakumbuka sallam aliongea nini?? Au mmesahau...leo hii ali kiba nyota inazidi kung'aa kimataifa na next coming show anapiga washington ndo anaanza kusema kwamba hana bifu na kwamba media ndo zinakuza
Nonsense ya mwendokasi hii
ali kiba kipi alichokosa hadi atafute kiki??

Na ndo haya haya ya harmorapa na harmonize ...wewe utamuitaje binadamu mwenzio nyani? Hata kama tulianzia kwa nyani, kulikua na sababu gani...sasa harmorapa ameanza kutangazwa hadi na MTV BASE AFRICA ...sasa nyani anapaa kimataifa kama zali sababu reason ni nyie tu ..kwaio nyie mnawasaidia watu watoke kimaisha ..comment yenu moja tu mtu anaitumia vilivyo
imefikia hatua nyinyi wasafi na management yenu mkae chini mfanye mambo yenu msitake shida na watu fanyeni ishu zenu ...
 
anatafuta kick boya yule
Dai alipokuwa akimkashifu mwenzio hamkuwa mnaona au mnajifanya vipofu ,??? Akitaka amwombe mwenzie msamaha na sio kusema mm sina bifu na Alli iyo haitoshi apo nikujijitaekenya kwanini asiseme ali nisamehe kwakukukashifu kipindi kile sana .
 
Nawacheki tu mnavyotoa mapovu kwa bosi D.
Kiukweli boss hana bifu na Ali bali yeye Ali ndio hua anatoa mapovu kwetu na kwa bosi
 
Me huwa nawashangaa hapo tu....wkt umefika kiba atambue kuwa hana mashabiki real.
Una uhakika ukisemacho? kabla ya kiitwacho bifu Alikiba aliuza album mbili kwa mafanikio moja kwa mujibu wa kora Awards iliongoza kwa mauzo Afrika mashariki...
Hao wanunuzi walikuwa wakimchukia nani ?
 
Una uhakika ukisemacho? kabla ya kiitwacho bifu Alikiba aliuza album mbili kwa mafanikio moja kwa mujibu wa kora Awards iliongoza kwa mauzo Afrika mashariki...
Hao wanunuzi walikuwa wakimchukia nani ?
tupe source au link cyo story za kwenye kahawa
 
Back
Top Bottom