bampa 2 bampa
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 236
- 268
Umesaha kwamba alimwambia mwisho chalinzeSema domo sometimes anatoaga maneno ya shombo, labda jamaa kuna maneno bado yanamuuma, maana domo akianzisha taarabu utakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesaha kwamba alimwambia mwisho chalinzeSema domo sometimes anatoaga maneno ya shombo, labda jamaa kuna maneno bado yanamuuma, maana domo akianzisha taarabu utakimbia
Huyo 'salah' ndo nani mkuu?!Yeye mwenyewe kachoka tu nyimbi zake hazina kiki kama zamani. Hata skendo za wema tu zinampoteza na mziki wake. So.lazima atafute nyota ya mtu atembelee ndio maana anampigia magoti kiba. Ingawa akina salah ndio walikuwa busy kwa matusi mitandaoni
NiHuyo 'salah' ndo nani mkuu?!
Duh yaani we ndio hujui kitu kabisa hasa hyo habari ya kusema ban tale ndo alizima mic... Umekurupuka sana aiseeUShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Mbona hajataja jina au wewe umejuaje anaeongelewa ni chibu dangote?wewe ndio mchochezi,shenziHabarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe.....
Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!
View attachment 481074
Ndo alikua anatukanana IG 7b ya kina mond au?!Ni
Mcheza mpita Anakipiga Italy ni mmisri!!
Sio blog tu, ni blog uchwaraaaKumbe wasafidotcom ni blog!.si kila mtu angemiliki sasa blog ya kuuza muziki.Msifananishe wasafidotcom na vitu vya kijinga kama blog ambazo mtu yeyote anaweza operate!!
Yah mazowea kuzoeanaKiba anakwambia hataki mazoea kabisa.
Wote wanafiki hakuna cha mashabiki wala nani Almas mnafiki tuu kama alivyo AllyAli alichokifanya sio kitu kizuri yaani kaonyesha umma kwamba yeye ndio ana bifu na D .kitendo hicho kitamfanya baadhi ya watu wamuone kama ana utoto .coz wengi walijua bifu lipo kwa,mashabiki lakini yeye ka prove kuwa bifu analo yeye nasio linatengenezwa na mashabiki sasa tumeshajua mashabiki wako powered by kiba himself
Yani hadi Leo hujajua jinsi yakufikiliMbona hajataja jina au wewe umejuaje anaeongelewa ni chibu dangote?wewe ndio mchochezi,shenzi
unataka kutwambia kiba huwa harushi vijembe kwa mond....au unajitoa ufaham mbona mond mnapendaga kumuona ndo mrusha vijembe sana kwa mwenzake lakini vijembe vya alikiba huwa hamvioni.....kumtuhumu mwenzio ananunua tunzo mara view zako ni real cyo za kutumia robot, mara mziki mzuri no janja janja.....kuingilia show ya mwenzio as a sapraiz artist (mombasa) hivo vyote huwa hamvioniHakuna balaa kama siku bubu akipata nafasi ya kuongea [emoji23][emoji23][emoji23]
Siamiani kama mashabiki wa Diamond leo wamepata hasira baada ya Kiba ku-post maneno yanaonyesha kamlenga Diamond ambae kiuhalisia ndio nguli wa kutupa vijembe kwa Kiba na ni tabia yake ya muda mrefu nafikiri mashabiki wa Diamond wameumia zaidi kwa kua Kiba amejibu wakati ambao Diamond kama alikua anarudi kwenye mstari ivi kitu ambacho kwa tafsiri nyepesi utadhani alikua anamaliza msuguano wao hata mashabiki wake wehu hawakupenda Diamond aonyeshe kufungua mikono kwa Kiba wanatamani aendelee kutoa vijembe bahati mbaya siku ambayo kapoa kwenye media ndio siku ambayo Kiba kajilipua kuliko siku zote naamini Kiba aliisubiri kwa muda wakati kama huu ufike ili roho yake nae isuuzike baada ya kupigwa sana vijembe,niliwahi kusema Diamond alipofikia hana sababu ya kupenda kejeli na dharau hasa kwa kauli zake tata maana siku zinakimbia ukimsema mtu hawezi kumiliki buku hakika siku akipata buku 10 lazima uteswe na kauli zako kwa mfano hakukua na sababu kwenye video ya Kokoro kuweka vijembe vya Kiba kulala kuhusu kuzimiwa Mic ila kwa kupende vijembe akapitisha kijembe kiwemo kuna kauili nyingi kama "Ana post show wao wana post tembo" au "Waambie dada zao wa k'koo waje Ulaya" ukiangalia leo aliyomnanga Kiba yote hayana maana kwa kua Kiba anafanya show toka mwaka umeanza na kama Ulaya nadhani imekua sio ishu tena na awards za nje kabeba.
Hawa watoto ipo siku wenyewe waatachana na huu msuguano bila kuambiwa maana music cycle ni baba wa kila kitu ipo siku tutawasikiliza kama wasanii wa kawaida tu bila kushtuka hapo ndipo wanatakua kitu kimoja nani alijua Nature na Inspector leo wangekaa maskani moja wanawaza bangi nzuri watapata wapi ila muda umewakutanisha,hakuna TMK wala ECT tena,Prof J leo anazunguka na Sugu,hakuna Sister P wala Zay B ni suala la muda tu na kwa kua malumbano yao yanawapa pesa na wanakua motivated kufanya kazi bora tuwaache wamalize ujana wao ni heri hawapigani zaidi ya maneno tu.
Ndio.Vipi kuhusu kajiandae na aje remix au kwa kuwa ww ni team kiba hulioni hilo.....ukweli unajulikana kuwa bila beef kiba mziki unamuishia maana wanaomsapoti ni wale anti diamond damu damu