Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Hiyo nyimbo ni ya Aslay yy kashirikishwa nadhan anachomaanisha Mdau ni atoe nyimbo yake mwenyewe au yy ashirikishweKwani nyimbo Aslay x kiba hukuisikia ww fuatilia kitu usipende kusikia sikia maneno maneno ya watu ukaamini.
khaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona kashatoa ngoma 2 mwezi huu ila sema hapendi show off anazisikiliza yeye na mdogo wake abdu
Sio ya Aslay pekeyake kiba kaandika mashairi yake na Aslay kaandika yake ni X ndio maana imewekwa katikati kwa maana ni yawatu wote wawili nasio ya mtu mmoja tu.Hiyo nyimbo ni ya Aslay yy kashirikishwa nadhan anachomaanisha Mdau ni atoe nyimbo yake mwenyewe au yy ashirikishwe
Mbona kashatoa ngoma 2 mwezi huu ila sema hapendi show off anazisikiliza yeye na mdogo wake abdu
Anawasubiri clouds na The King is back...Ukisikia mtu anajiharibia basi kiba ni moja wapo, samaki akivuliwa huwa anakunjwa mapema wakati bado mbichi.
Sijui ni kwamba kawa kimya kwasababu amempoteza master mind Ruge, au ni kwavile kakimbiwa na mke wake aliechukia mrundikano wa ndugu nyumba wanayoishi, au anataka kurudia kupiga mbizi kama 2010 na akaibuka upya 2015.
Chausiku[emoji276]Hahahahahahah!!!!!
kwani mdau ngoma zote alizonazo hazitoshi wewe kusikiliza hadi atoe zingne?
Mbona kuna wasanii kibao tu hawatoi ngoma mpya na bado tunasolikiliza walizotoa zamani!
Seven mbona kasepa kitambo sana,washavunja mkataba hawafanyi tena kazi pamojaKiba amekwisha feli,Anakipaji sana sijajua anakwama wapi.Naamini hata 7Mosha amekwisha mchoka.
kwahiyo soko la nyimbo za kina bob marley, Michael Jackson, Whitney Houston limepotea?Soko la mziki wa leo sio ka zamani wamesha potea hao