Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

Kwani nyimbo Aslay x kiba hukuisikia ww fuatilia kitu usipende kusikia sikia maneno maneno ya watu ukaamini.
Hiyo nyimbo ni ya Aslay yy kashirikishwa nadhan anachomaanisha Mdau ni atoe nyimbo yake mwenyewe au yy ashirikishwe
 
Mbona kashatoa ngoma 2 mwezi huu ila sema hapendi show off anazisikiliza yeye na mdogo wake abdu
khaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo nyimbo ni ya Aslay yy kashirikishwa nadhan anachomaanisha Mdau ni atoe nyimbo yake mwenyewe au yy ashirikishwe
Sio ya Aslay pekeyake kiba kaandika mashairi yake na Aslay kaandika yake ni X ndio maana imewekwa katikati kwa maana ni yawatu wote wawili nasio ya mtu mmoja tu.
 
Ukisikia mtu anajiharibia basi kiba ni moja wapo, samaki akivuliwa huwa anakunjwa mapema wakati bado mbichi.

Sijui ni kwamba kawa kimya kwasababu amempoteza master mind Ruge, au ni kwavile kakimbiwa na mke wake aliechukia mrundikano wa ndugu nyumba wanayoishi, au anataka kurudia kupiga mbizi kama 2010 na akaibuka upya 2015.
Anawasubiri clouds na The King is back...
 
Soko la mziki wa leo sio ka zamani wamesha potea hao
kwani mdau ngoma zote alizonazo hazitoshi wewe kusikiliza hadi atoe zingne?

Mbona kuna wasanii kibao tu hawatoi ngoma mpya na bado tunasolikiliza walizotoa zamani!
 
Atoe za nini ama akikupa sababu za kutoa toa wewe utampa msaaada gani kwa mfano huenda ana target maisha mengine...

Mwacheni sikilizeni za wasanii wengine maana ni wengi mnoo
 
Kiba kashatengeneza maisha tumuache ale pensheni yake.
 
Kiba ni muimbaji mzuri kuliko Diamond kwa upande wangu.,.tatizo alilo nalo Kiba ni kujikuta,kujisikia kuwa ni mkubwa mno Labda kwa akili zake kama Michael Jackson...hili linajidhihirisha hasa ktk mitandao ya kijamii anayoitumia mf.akikipa kitu promo maneno yake n anachotangaza ikifuatiwa na hashtag ya Supported by king kiba..

MF.nyimbo ya Abdu kiba mapenz mubashara ataandika tu Mapenzi mubashara#supported by king Kiba..

Ihuiiu in Magufuli's voice kwa ukubwa gani alio nao? Biashara matangazo umuelezee mteja tena Na chumvi juu akuelewe anunue biashara yako.brands za Coca na Pepsi nan hazijui?mbona kila dk wanajipromote kila kona ?

..Kama ingelikuwa anajua hajui kujipromote angeajiri MTU upande Wa social media...(umuhimu Wa social media na muziki kwa sasa hauelezeki ni muhimu mno)..Tizama wale vijana alowachukua yaan hana mda nao Mara nyingi Mdogo wake(Abdu) ndie huzunguka nao . Akiwa kwenye interview kila kitu n siri MF.kuna siku anaulizwa na wakina mchomvu ikiwa ana studio nyumbani eti anaishia kujibu "Mimi si Wa hivyo" !!hivi kujibu tu ndiyo nayo tatizo? Yaan interview vigenge kila mahala bado hajamature kwenye interview hadi Leo !..

Pole Yake Nina mengi hata sijagusia utoaji Wa ngoma zake kwa maringo na baada ya kubembelezwa sana ni tone tu nimelitoa..Kifupi ni hivi Konde boy ndie anachukua nafasi ya Kiba kwa sasa haters watasema nampa promo konde boy..sikuwa na lengo hilo asilan hata jasiri muongoza njia kanisikia huko aliko ..

Utambebaje MTU mzima asiyetaka kubebwa?again Pole Kiba.

.
 
Jamaa ni fala kiwango cha SGR.
Kuna siku alikuwa USA akawa anahojiwa FNL live na Sam Misago.. aseee yaani kila swali anajibu "SIWEZI KULIZUNGUMZIA HILO" Niliboeka sana hata EATV wakaona kama anawapotezea muda wakamtoa kwa air.
Inshort jamaa ni rubish kabisa then anajimaliza mwenyewe.
Ila tatizo kubwa naona bado ni mshamba flani hivi ambaye kaotea life sasa haamini kama ni yeye.
Akafie mbele uko.
 
Back
Top Bottom